Je, kubomoa nyumba wanazoishi madada poa ndio suluhisho la hiyo biashara?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,285
2,043
Jiji la Dar es salaam limekuwa ktk hekaheka chini ya Mkuu wa Mkoa Bw. Chalamila la kubomoa Nyumba wanazoishi na kufanyia ufuska Madada Poa kwa kufanya biashara ya kujiuza.

SWALI MUHIMU
Je kubomoa hizo nyumba ndio SULUHISHO la kumaliza hiyo BIASHARA ya hao DADA POA?
Binafsi siamini kuwa hilo ni SULUHISHO.
 
Jiji la Dar es salaam limekuwa ktk hekaheka chini ya Mkuu wa Mkoa Bw.Chalamila la kubomoa Nyumba wanazoishi na kufanyia ufuska Madada Poa kwa kufanya biashara ya kujiuza.
SWALI MUHIMU
Je kubomoa hizo nyumba ndio SULUHISHO la kumaliza hiyo BIASHARA ya hao DADA POA?
Binafsi siamini kuwa hilo ni SULUHISHO.


Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Bila picha Uzi wako ni batili
 
Itasaidia kupunguza kasi ya wanaotaka kuingia kwenye ukahaba. Ila biashara ya ukahaba kwisha kwake ni hadi hii dunia nayo ifikie mwisho.
 
Wale jamaa walikuwa wanachukua hatua huku wakiwa wamedinda, hivyo kichwa cha chini kilitumika kifanya huo ujinga
 
Back
Top Bottom