Je, kipimo hiki cha maendeleo kwa CCM si sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, kipimo hiki cha maendeleo kwa CCM si sahihi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Sep 28, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Millennium Development Goals (MDGs)/ Malengo ya Millenia yaliwekwa mwaka 2000 kwamba kufikia 2015 matatizo kama umaskini yawe nusu yake. Lakini kufikia 2010 hata nusu ya lengo halijafikiwa, je, huku si kushindwa kwa CCM kufikia malengo hayo? Je, mpaka 2015 wataweza kufikia nusu hiyo iliyowekwa? Je, wamepania kuvuka hata hilo lengo la kupunguza, mfano, umaskini kwa nusu? Je, ugawaji wa fulana na khanga ndio upunguzaji wenyewe wa umaskini?
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hakuna jipya hapo.
   
Loading...