Kwa maelezo haya, kila mtu itakuwa siyo yake au yakekinaonyesha ndio, mstari ukiwa ujefifia sanaa kiasi cha kuwa kama haupo ujue yako hio, ila mistari ikikolea ikawaka yote na kumeremeta UMEPIGWA
Wakuu nahisi kama nataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, toka nisex naye haijazipita hata siku 15 afu tayari ana dalili za mimba, Sasa nataka akapimwe mkojo je kipimo kitaonyesha na muda mimba ilioingia?