Je, Kazi ya Malkia wa Uingereza ni nini?

VanMacJastas

Member
Apr 20, 2016
77
56
Jamani wana Jamii wenzangu naomba ufafanuzi kuna jambo linanitatizaga sana kwenye utawala wa Uingereza, hii ni kwa sababu huenda sio mtaalam sana wa mambo ya siasa za nchi za magharibi,

SWALI:
Hivi Malkia wa Uingereza (ELIZABETH) Yeye ni nani? na huwa ana kazi gani? na pia ana nafasi gani katika nchi ya Uingereza?

Asanteni
 
Back
Top Bottom