Taifa litapoteza tena zaidi ya Bilioni 12 za Walipakodi masikini ili kuipa raha CCM

ABC ZA 2025

JF-Expert Member
May 2, 2018
1,160
706
"Bwana awe nanyi"
___________________
Baada ya National electoral Commission (NEC) kutangaza uchaguzi katika kata 79 gharama za kurudia uchaguzi huo zilikadiriwa kufikia tsh bill 15.8 baadae NEC ikatangaza kuwa CCM imepita bila uchaguzi katika kata 30 huku ikiziondoa kata mbili za Kisesa &Tindabuligi nakufanya jumla ya takribani kata 47 ndizo zitakazofanya uchaguzi trh 12/08/018 siku ya j'pili, Zaidi ya tsh bill 12 kwa wastani Wa mill 200 kila kata ikiwa ni pamoja na bill 2 za kurudia uchaguzi katika majimbo ya Ukonga&Monduli zitatumika.
____________________
Niwakati ambapo watoto Wa masikini Wa taifa hili waliosoma kwa shida na karaha za kiwango cha juu kabisa tena kwa ada za kuungaunga kwa kufukuzwa shule kila uchapo wakalete ada,Ni wakati huu ambapo miongoni mwao zaidi ya wahitimu mil 2 wamemaliza masomo yao kwa tabu huu ni mwaka Wa tatu Leo wanasota mtaani bila ajira rasmi(Hii ni kwa mujibu Wa Ripoti ya Hali uchumi nchini),Kwa Msiofahamu bill 12 za kurudia uchaguzi zinaweza kulipia Watumishi 2,400 kila mmoja mshahara Wa tsh 420,000/- kwa mwezi kwa muda Wa mwaka mmoja, Ndio wakati ambao Serikali yao(Serikali ya wanyonge) inatumia zaidi yabill 12 kujifurahisha kwa kurudia Uchaguzi waliousababisha wao kwa makusudi mazima ,Poleni sana vijana wasomi Wa nchi hii, Hii ndio CCM ya baba zetu isiyojali wala kuwafikirieni ninyi bali wanajifikiria wao na watoto wao.
____________________
Niwakati ambapo Serikali ya Taifa hili katika mwaka 2018/19 inakopa tsh trl 8 toka inje & ndani na kurejesha tsh trl 9.2 kwenye deni la Taifa la ndani na nje(Kwa lugha rahisi inakopa mkopo ili kulipa mkopo) Niwakati ambapo TRA wanakusanya trl 15.5 sawa na Trl 1.3 kwa mwezi na kutumia mil 636 kwa ajili ya mishahara na mil 767 kulipia deni la Taifa na kufanya jumla ya matumizi ya mwezi kufikia trl 1.4 juu kidogo ya kusanyo letu la mwezi yaani tsh trl 1.3 achilia mbali matumizi mengine ya Serikali sijui pesa zinakotoka ila ni wakati huuhuu bila huruma Serikali ya CCM inatumia karibu takribani bill 12 kujifurahisha kwa uchaguzi Wa marudio eti watu wanaunga mkono juhudi za Rais zilizofanya maBank nchini yafilisike baada ya mzunguko Wa fedha kushuka toka 22% mpaka 1.8% mwaka Wa fedha 2016/17 wakati ambapo ukuaji Wa ujazi Wa fedha (M3) ulishuka toka 12.7% wakati Wa Kikwete mpaka 6.1 mwaka 2016/17 wakati Wa Rais Magufuli ndio wakati ambapo Serikali inatumia fedha za walalahoi wasio na hatia kurudia uchaguzi kwa majigambo na mbwembwe lukuki huku wananchi wakisalia kuwa masikini wakutupwa ndani ya Taifa lao.
____________________
Niwakati ambao maBank yetu ya biashara yanafilisika kwa kasi kwa kukosa Mzunguko Wa fedha kwani wananchi vyuma vimekaza na makampuni mengi yamenyang'anywa biashara na Serikali huku serikali ikikopa 49% toka kwao,Huwezi amani maBank yetu yote yalikuwa na mtaji Wa zaidi ya tsh Trl 19 wakati ule Wa neema,Hebu fikiria wakati Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 faida ya haya maBank ilikuwa tsh bil 438 na mwaka 2016 yaani mwaka mmoja baada ya Rais Magufuli faida ikaanza kushuka hadi shillingi bil 423 na mwaka 2017 imeshuka kwa kutereza hadi bil 286 sawa na anguko la -68% na hii ni kwa maBank yote zaidi ya 45 yaliyo hai sawa wastani Wa bill 6 kila moja, katikati ya haya ndio Serikali ya awamu ya tano inatumia zaidi ya tsh bill 12 fedha za walipa kodi masikini kabisa kujifurahisha kwa kurudi uchaguzi. Mmesikia Bank ya Wanawake(TWB) imeshindwa kujiendesha, Niwakumbushe tu bank hii mpaka desemba 2016 ilikuwa na Wateja 65,735 amana zao zilikuwa bill 25.1 gafla zikaanza kushuka na kufikia bill 19.7 na baada ya kutoa mikopo inayofikia bill 19.2 ,(mikopo chechefu)NPL yake ilikuwa na kufikia 43% ikilinganishwa na 26% ya wakati Wa Kikwete ndio maana Leo inafungwa huku watu wakishangilia kuwa uchumi wetu unakua kwa kasi .
____________________
Niwakati ambao uzalisha wa mazao ya biashara unashuka kwa kasi, Mfano mwaka 2016 uzalishaji wa Pamba ilishuka kwa -25.8%,Tumbaku -30.8%,Sukari -3.6%,Chai -8.7,pareto -66.6,Kikwete wakati anaondoka madarakani kwenye mfuko Wa pembejeo pekee alitenga tsh bil 299.3 mwaka mmoja baadae yaani mwaka 2016/17 zikatolewa tsh bill 2.2 sawa 2.3% ya bajeti nzima,Lakini ni sawa na 1% ya bajeti ya mfuko Wa pembejee wakati wa Kikwete, Niwakati huu ambao kilimo kinajifia kwa kukosa fedha ya kutosha ndio wakati ambapo chama tawala kinanunua wabunge na madiwani kwa fedha zetu za kilimo,afya,maji,elimu na kuliletea Taifa hasara ya zaidi bill 12 kwa kurudi uchaguzi usiokuwa na ulazima.
____________________
Niwakati ambao wanafunzi Wa vyuo vikuu zaidi ya 16,554 kati ya 44,627 waliodahiliwa mwaka 2017 ambao kati yao 28,073 walipewa mkopo Wa tsh bill 102.64 hawa watoto Wa masikini 16,554 hawana mikopo hatujui wanaishije huko vyuoni ama ni kwa kujiuza pale "Kona Bar" au wanashindia kipande cha muhogo na maji ila ni wakati huu ambao Serikali yao itatumia bill 12 kurudia uchaguzi kwa maslahi ya akina Waitara Wapenda raha na CCM-Mpya , hizi bill 12 zingeweza kutoa mikopo kwa wanafunzi 3,750 kwa kupewa boom la tsh 2,200,000/ na ada ya Tsh 1,000,000/ kwa mwaka, Lazima tutafakari kama Taifa ni kweli CCM ina nia ya dhati ya kuondo huu umasikini wetu ulioripotiwa kuwa ni 28.2% mwaka 2012 sawa na watu mill 13.3 walikuwa masikini au lengo la CCM hii ni kutufanya tuwe masikini zaidi kwa hata hivyo umekuwa ukipungua kwa wastani Wa 1.8% kila mwaka kiasi ambacho nikidogo sana ukilinganisha na huko nyuma.
"Tuache Ushabiki Wa kisiasa tutaliua Taifa hili"
__________________
Emmanuel Allute
Kada Wa Chadema
alluteemmanuel@gmail.com
 
Kama hali ndo hii, waacheni CCM wapite bila kupingwa halafu mje mtuambie kuwa hamkuweka wagombea kwa sababu ya kuondoa gharama kwa taifa. Hapo tunaweza kuelewa hayo maigizo mnayotuambia na si kupiga kelele za hizo gharama kisha mnapeleka mgombea.
 
Hii ni nondo kweli kweli,Lumumba watapinga na hii na kusema ni uongo!
 
Kama hali ndo hii, waacheni CCM wapite bila kupingwa halafu mje mtuambie kuwa hamkuweka wagombea kwa sababu ya kuondoa gharama kwa taifa. Hapo tunaweza kuelewa hayo maigizo mnayotuambia na si kupiga kelele za hizo gharama kisha mnapeleka mgombea.
Unachosema ni sahihi, Mbowe aandike barua NEC yakujitoa kwenye uchaguzi na kuwaambia hamna haja ya uchaguzi hao wawaapishe tu ili hizo fedha ziende kwenye huduma za jamii, tuwakopeshe ada hata watoto wa vilaza walioko vyuo mbalimbali, hizi 12bn tutawakopesa wanafunzi 10,000. walioko kwenye vyuo mbalimbali na baada ya miaka mitatu wataanza kuzirejesha serikalini.
 
Tupo kwenye right truck tutembee kifua mbele!
 
Happy
Kama hali ndo hii, waacheni CCM wapite bila kupingwa halafu mje mtuambie kuwa hamkuweka wagombea kwa sababu ya kuondoa gharama kwa taifa. Hapo tunaweza kuelewa hayo maigizo mnayotuambia na si kupiga kelele za hizo gharama kisha mnapeleka mgombea.[/QUOTE

Kwanini usishauri anayeshahishi wabunge na madiwani ili pasiwepo na uchaguzi bala ya kutuambia tusiweke wagombea??
 
Kama kweli mna uchungu na hizi ghrama za marudio ya UCHAGUZI mwmbieni MBOWE atoke adharani ATAMKE YA KWAMBA HAWATASIMAMISHA MGOMBEA YOYOTE KWENYE UCHAGUZI ZA MARUDIO NA GHARAMA ZA HUO UCHAGUZI ZIELEKEZWE KUSAIDIA VIJANA WANAOKOSA MKOPO VYUONI.....Vinginevyo itakuwa ni unafiki kuendelea kualalmika gharama za marudio ya uCHAGUZI ili hali nyie wenyewe ni washiriki wakubwa kwenye hayo matumizi mabaya ya pesa zetu...PINGENI KWA VITENDO
 
Hizi nondo haswa
 
Unachosema ni sahihi, Mbowe aandike barua NEC yakujitoa kwenye uchaguzi na kuwaambia hamna haja ya uchaguzi hao wawaapishe tu ili hizo fedha ziende kwenye huduma za jamii, tuwakopeshe ada hata watoto wa vilaza walioko vyuo mbalimbali, hizi 12bn tutawakopesa wanafunzi 10,000. walioko kwenye vyuo mbalimbali na baada ya miaka mitatu wataanza kuzirejesha serikalini.
Una maanisha watu waendelee kurubuniwa ili wakihamia kule wanapita bila kupingwa?
Sisi Watanzania ni wavivu wa kufanya kazi ndio maana muda wote tupo kushindana nani zaidi kati ya mzungusha "mikono" na mkata "miuno".Mambo ya ajabu kabisa tunazaa mfululizo,je,hizi ndio siasa tutakazo warithisha watoto wetu za kusifia vyama badala kupigania utaifa wetu?

Naamini ipo siku watoto wetu watakuja kutuadhibu hata kwa kuyamwagia tindikali makaburi yetu.
 
Kama kweli mna uchungu na hizi ghrama za marudio ya UCHAGUZI mwmbieni MBOWE atoke adharani ATAMKE YA KWAMBA HAWATASIMAMISHA MGOMBEA YOYOTE KWENYE UCHAGUZI ZA MARUDIO NA GHARAMA ZA HUO UCHAGUZI ZIELEKEZWE KUSAIDIA VIJANA WANAOKOSA MKOPO VYUONI.....Vinginevyo itakuwa ni unafiki kuendelea kualalmika gharama za marudio ya uCHAGUZI ili hali nyie wenyewe ni washiriki wakubwa kwenye hayo matumizi mabaya ya pesa zetu...PINGENI KWA VITENDO
Tatizo ni Mbowe wenzie hawamwamini, vinginevyo viongozi wa vyama vya siasa wangekubaliana kuachana na uchaguzi ili kuokoa pesa za walipa kodi, kwani kuna shida gani mbunge wa viti maalumu au jimbo jirani kukaimu jimbo lililo wazi?
 
Una maanisha watu waendelee kurubuniwa ili wakihamia kule wanapita bila kupingwa?
Sisi Watanzania ni wavivu wa kufanya kazi ndio maana muda wote tupo kushindana nani zaidi kati ya mzungusha "mikono" na mkata "miuno".Mambo ya ajabu kabisa tunazaa mfululizo,je,hizi ndio siasa tutakazo warithisha watoto wetu za kusifia vyama badala kupigania utaifa wetu?

Naamini ipo siku watoto wetu watakuja kutuadhibu hata kwa kuyamwagia tindikali makaburi yetu.
Hivi nani wa maana aliyehamia kule? Waitara? kwanza nilishangaa sana chadema mlimpokeaje mtu kama yule, tulisema toka mwanzo hebu wafanyieni usaili hao wanaohamia kwenu kwanza, hamkutusikiliza.
 
Kama kweli mna uchungu na hizi ghrama za marudio ya UCHAGUZI mwmbieni MBOWE atoke adharani ATAMKE YA KWAMBA HAWATASIMAMISHA MGOMBEA YOYOTE KWENYE UCHAGUZI ZA MARUDIO NA GHARAMA ZA HUO UCHAGUZI ZIELEKEZWE KUSAIDIA VIJANA WANAOKOSA MKOPO VYUONI.....Vinginevyo itakuwa ni unafiki kuendelea kualalmika gharama za marudio ya uCHAGUZI ili hali nyie wenyewe ni washiriki wakubwa kwenye hayo matumizi mabaya ya pesa zetu...PINGENI KWA VITENDO
Wewe ngu_ru_we mbowe asiposimamisha, mrema atasimamisha na pesa itapotea vile vile! Nani asiyewajua?
 
Back
Top Bottom