Tukiweka ushabiki nje ni kwamba moja kwa moja Marehemu bwana Kanumba alikuwa akimbaka Elizabeth Michael(Lulu) nina uhakika wa 100% hata kama sijasaidia kushika miguu lakini mtu asijeniambia ati Kanumba kaanza mahusiano na Lulu juzi wakati anatimiza umri wa miaka 18 never hakunaga hilo na sitakubali,Sio vizuri kumsema marehemu lakini kutokana na issue ilivyokaaa mengi yatasemwa lakini ukweli utabaki pale Marehemu alikuwa akimdanganya Lulu,na hata kama yey Lulu ndio amekubali moja kwa moja kisheria ni kwamba kamdanganya,tunafahamu watu wazima especially in Afrika tunasema mtoto ni wa wote hata kama mnaishi jirani na ni jirani tu lakini ukimuona mtoto anafanya mambo ya ajabu lazima umkemee au uwahabarishe wazazi wake juu ya jambo alilofanya huyo mwana,na tunafanya hivyo ili kesho likitokea jambo walezi wa yule mlengwa watakumbuka kuwa oooh that time fulani alisema kumbe ni kweli japokuwa tulimpotezea,So by conculution nasema Kanumba alitakiwa awe mlezi wa Elizabeth kwa kuwa yeye alikuwa anafanya nae kazi na sio kuwa wapenzi,Elizabeth angetakiwa awe na mpenzi wa miaka yake lakini hapo hapo pia kama marehemu angegundua pia kama Lulu yuko na mpenzi japokuwa ni rika sawa pia angepaswa kumkemea na kumwambia sio poa na usikimbilie haya mambo kwani utayakuta lkn hakufanya hivyo,na maandiko yanasema mshahara wa dhambi ni mauti japokuwa hapo hapo maandiko yanasema tukisema hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe lakini hapa walikuwa na maana kama unafahamu hii ni dhambi basi lazima usiifanye.