Je kampuni ya mabasi ya Katarama itashughulikiwa?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,126
Reaction score
9,663
Dada wa Taifa amepost abiria wakiwa katika basi la Katarama wakiangalia hotuba ya Balozi mstaafu Polepole.

Uzi huu umekuja na swali la angalizo, je kupitia video ile, kampuni ya Katarama inaweza kushughulikiwa na mamlaka?

Muda ni mwalimu mzuri…
 
Umeandika nini we punguani? Vijana wa siku hizi ni wapumbavu mpk chenji inabaki
 
Dada wa Taifa amepost abiria wakiwa katika basi la Katarama wakiangalia hotuba ya Balozi mstaafu Polepole.

Uzi huu umekuja na swali la angalizo, je kupitia video ile, kampuni ya Katarama inaweza kushughulikiwa na mamlaka?

Muda ni mwalimu mzuri…
unawakumbusha??? huu ni upuuzi wewe ng'ombe wa mayele
 
Kuwa mwanga sio lazima upae na ungo usiku. Hata uzandiki na kimbelembele ni dalili za uchawi.

Sasa mfano wakifungiwa, itabadilisha nini kwenye ufukara wako?
 
Walimu wako walipata sana tabu, kichwa chako ni kama begi la meno
 
Lazima watatafutiwa angle wazee wa polo!!😁

Hakuna tena Mkojan siku hizi ni harakati za ukombozi tu!!
 
Katarama wanakimbilia wapi humo njiani? Wanaishia tu kuua watu

20250906_213305.jpg
 
Back
Top Bottom