johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,619
Nauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.
Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma
Sabato njema!
Muha huwaza tumbo lake pekee.Nauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.
Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma
Sabato njema!
Hivi urais mnaona ni kitu chepesi , Yani kweli kafulila awe rais wa nchi hii, acheni utaniNauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.
Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma
Sabato njema!
Well said, Mtaka ni image ya Magufuli kinachoongezeka kwake ni hofu ya Mungu.Muha huwaza tumbo lake pekee.
Hapo anajiwazia nafasi yake kisiasa kupitia fursa za ukuu wa Mkoa tu.
Mkuu wa mkoa ni mmoja tu. Mtaka
Mtaka hana siasa za kibongo za kujipendekeza.Well said, Mtaka ni image ya Magufuli kinachoongezeka kwake ni hofu ya Mungu.
Mtaka anatumia akili sana tofauti na huyo uliyemtaja yeye alitumia ubabe zaidiWell said, Mtaka ni image ya Magufuli kinachoongezeka kwake ni hofu ya Mungu.
Kama Samia anaweza we unashindwaje!!?wewe tu unashindwa VIPI Sasa!!!Yaani wewe!tumuache kwanza kafulila tuje wewe kwanza!!!Hivi urais mnaona ni kitu chepesi , Yani kweli kafulila awe rais wa nchi hii, acheni utani
Nchi hii Kafulila mbona anaweza kuiongoza tu?Kama Samia anaweza we unashindwaje!!?wewe tu unashindwa VIPI Sasa!!!Yaani wewe!tumuache kwanza kafulila tuje wewe kwanza!!!
Nafikiri kuhusu urais ikiwa Samia sasa ni rais hata Kafulila anaweza zaidi ya SamiaHivi urais mnaona ni kitu chepesi , Yani kweli kafulila awe rais wa nchi hii, acheni utani
SSH Kama sio mtangulizi wake kufa ,Urais angeusikia tu, Kafulila hawezi kuwa rais wa nchi hii, na sidhani Kama anamalengo hayo,Kama Samia anaweza we unashindwaje!!?wewe tu unashindwa VIPI Sasa!!!Yaani wewe!tumuache kwanza kafulila tuje wewe kwanza!!!
Yaani kabisa Tanzania iongozwe na tumbili,masihara haya.Hivi urais mnaona ni kitu chepesi , Yani kweli kafulila awe rais wa nchi hii, acheni utani
Dah!Nauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.
Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma
Sabato njema!
Unaogopa ya UkraineYaani kabisa Tanzania iongozwe na tumbili,masihara haya.
Mbona mnakuwa wajinga mliopitilizaWell said, Mtaka ni image ya Magufuli kinachoongezeka kwake ni hofu ya Mungu.
Tena atakuwa Rais bora sanaKama Samia anaweza we unashindwaje!!?wewe tu unashindwa VIPI Sasa!!!Yaani wewe!tumuache kwanza kafulila tuje wewe kwanza!!!
Waliokuwa marais wana nini cha ajabu?Hivi urais mnaona ni kitu chepesi , Yani kweli kafulila awe rais wa nchi hii, acheni utani
Kwa maana Magufuli hakuwa na hofu ya Mungu?Well said, Mtaka ni image ya Magufuli kinachoongezeka kwake ni hofu ya Mungu.