Je, kabila gani hapa nchini linaongoza kwa uzuri wa mwanamke?

Wakuu, uzuri wa mwanamke ni SIRI ya mwanaume lakini ki maumbile yaani sura na mwili pana kabila lina akina mama wazuri mno.
Nimejiuliza swali hili baada ya kukuta kwenye "Youtube" mtu mmoja akitoa maoni yake kama ifuatavo.
Yeye katoa makabila KUMI tu na kaanza na la kumi kama ifuatavo:-
10. Wahaya.
9. Wanyakyusa.
8. Wadigo.
7. Wasambaa.
6. Wanyamwezi.
5. Wanyaturu.
4. Wanyiramba.
3. Wachaga.
2. Wambulu.
1. Warangi.
Pamoja na kusifia uzuri wake pia katoa kasoro zake kila kabila, je wewe unaafiki utafiti wake?
Usizuzuke na rangi ya chai tamu ya chai sukari
 
Mkuu, elewa nchi hii ina makabila mengi na yeye amesema anatoa kumi tu kuanzia kabila la kumi kuelekea kabila la kwanza kwa uzuri na si makabila hayo kumi ndo wanawake wake ni wazuri kwa sura na umbo. Elewa huo ni mpangilio.
Ehee Mungu baba na hivi siwezi kumuelewesha mtu nitakoma

Mimi sijakataa na sijapinga wao kuwepo nafasi ya 9.

Kwa uelewa wangu kwake yeye hao ndiyo 10 bora yake kwa uzuri, siipingi na nikakazia kuwa ni kweli wanyakyusa ni wazuri.

Ujaelewa wapi mkuu?

Au ulitaka niseme warangi wazuri sana?
 
Ma-strong, independent women. Sema sijawai kutana na hako kaubabe, wewe unako?

Ila nilishawai kumbana na kiburi/jeuri ya kinyakyusa.
Huo ujeuri/kiburi ndiyo unaleta kaubabe.

Mimi sina kwa kweli, ila kaujeuriii kwa mbali kapo kapo
 
Back
Top Bottom