Je, Jeshi litatuangusha au litafanya kweli?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,428
Kwa hali ilivyo, ni kwamba watanzania walio wengi wamempigia Samia Suluhu Hassan kura ya kutokuwa na imani naye. Sasa, nini kifanyike? Sitisha uchaguzi ima iundwe serikali ya mpito au jeshi nalo lau lionje ulaji. Tumeichoka CCM. Hatuitaki hata mzoga wake. Je, Jeshi kweli litazembea na kutuangusha? Je, baada ya hapo, ni ni nini kitatokea. Yuko wapi Samia na machawa wake? Nataka kujua.
 
Ngoja tuone itakuwaje, ila jeshi ..........
 
Back
Top Bottom