Je, Iran itaanguka kabla ya 2030?

Je, Iran itaanguka kabla ya 2030?

Kuna nchi ya Iran hii ipo huko uarabuni wao ni supporter wa magaidi kila hali. Hapa nchini wanagawa misaada ya kuwawekea watu mitego ili wabadili dini.

Ila Iran wanawagea materorist sapoti huko mashariki ya kati uwarabuni na duniani

Ni watu wa chuki visasi na roho ya kigaidi wanayo na ndio wanafadhili ugaidi na misimamo mikali hapa kwetu wanaeneza dini kupitia misaada ya na kuwabadili watu dini hawa teeran

Huko maandamano yamekolea wanawake wamegoma kuwa watumwa wa kujifunikafunika

Serikali ya IRAN itaanguka? Na itakua ni lini maana wamechoka sana hao raia wake

Tutarajie hawa kudondoka? Au Irani bado wapo?
Kwa tathmini ya haraka haraka hiyo 2030 serikali ya Ayatollah itakuwepo na itakuwa imara zaidi.

Kama humpendi Ayatollah jipange kuishi nalo hili hiyo 2030.
 
irani [emoji777]
Iran [emoji736]

Sijasoma content yako ila Iran kuanguka sio rahis maana iko strong tofauti na miaka 5 nyuma. Sahivi wanakuja na Petro-yuan mambo ya dollar itakua historia. Sahv wanashirikiana na mataifa rafiki tu vikwazo vilidunda kwa Iran kama unavyoona Russia, Iran iko Strong sana.

Kitu kingine Asia ndo inatabiliwa kukuwa kiviwanda na kibiashara miaka 5-10 ijayo
Naongezea Iran ni member wa BRICS muungano wa mataifa makubwa yenye idad kubwa ya watu wanao jitambua wasio penda kupelekeshwa na Mataifa ya magharibi na ndio mungano BRICS ambao unaenda kuifanya fedha ya marekan (dollar) kuanguka hivyo watu kuishi kwa amani duniani.Yajayo yanafuraisha
 
Hata hujui kuwa Iran si arabuni Iran iko Central Asia kilaza wewe
 
Kama ni wao wanaofanya huo ugaidi basi wananguvu kubwa pamoja na kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na hizo nchi zenu mnazoziabudu za wamagharibi.

Huo ugaidi wanaofadhiri dunian hao iran hawaufikii wamagharibi hata robo.

Kwanza waIran hawaenenz dini huku afrika bali wanaforce kusambaza ushawishi wa nchi yao kupitia imani ili muwe mnawasapoti, na hao mnaoita magaidi, ni wapumbavu wachache waliokosa utu, elimu na ustaharabu kwa kuharibu jamii zao sababu ya tamaa na ujinga.

Wamagharibi ndio wanaosapoti huo ushenzi wa kigaidi kupitia mgongo wa dini, migogoro na siasa za kijinga jinga, wa iran ni rahisi kuwadhibiti kulko hao wazungu wa kimagharibi, waliowaaminisha kuwa wao ni Innocent isipokuwa nchi za uarabun ndio waovu.

Iran hana huo uwezo wa kufadhiri magaidi kwa kiasi mnachomsingizia, labda shoga ake USA yule Soud arabia ndie anaweza kuwafadhiri magaidi maana ana uchumi mkubwa na ushawishi mkubwa.

Acheni kulishwa propaganda za kipumbavu, siasa za dunia hupikwa na wahuni ambao huzichuja taarifa mpka zije zikufikie mwananchi wa chini, basi kuna mengi yamepindishwa na mpka uweze kung'amua uongo ama ukwel inabidi usiwe mtu wa mihemko ama mahaba ya jamii fulani unayoipenda.

WaTz pambaneni na elimu, elimu ndio itakayofanya watu waelimike na waachane na siasa za kijinga za milengo/itikadi za kipumbavu zinazobase kuwapendeza watu wa nje huko.
 
Back
Top Bottom