Je ipi itafuata baada ya Lollipo??

Je ipi itafuata baada ya Lollipo??

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Ukiangalia kwenye series za OS za android, lollipop ndio ya mwisho, je nini itafuata au ndio utakuwa mwisho wa android?
 
Inaeza kuja Milkshake kwasabu tetesi za kabla ya ujio wa hiyo 5 ilisemekana wangeita Milkshake au Lollipop, wakaita Lollipop so now i guess next it will be Milkshake.

Au wakitaka kufuata mpangilio mzuri wa series wafanye Lollipop > A millie > John if i die today > How to love.
Pun intended.
 
Kama ni hivyo tusubiri tuone
 
Tizama mlolongo ulivoanza nadhani utapata jibu kwa version inayofuata
Alpha (1.0)
Beta (1.1)
Cupcake (1.5)
Donut (1.6)
Eclair (2.0–2.1)
Froyo (2.2–2.2.3)
Gingerbread (2.3–2.3.7)
Honeycomb (3.0–3.2.6)
Ice Cream Sandwich (4.0–4.0.4)
Jelly Bean (4.1–4.3.1)
KitKat (4.4–4.4.4, 4.4W–4.4W.2)
Lollipop (5.0–5.1)

#justajoke inaeza ikawa Android Mapapai au maembe
#inreality it suspected to be milkshake
 
option nyingi.

6.-Garlic
7.Mangoe
8.Banana
9.Burger
10.Hotdog
11.........Vipo vingi tu

na version kudevelop ni simple tu.
 
OS yao ni mavyakula tu. Ndo maana ni buggy tu
 
Inaeza kuja Milkshake kwasabu tetesi za kabla ya ujio wa hiyo 5 ilisemekana wangeita Milkshake au Lollipop, wakaita Lollipop so now i guess next it will be Milkshake.

Au wakitaka kufuata mpangilio mzuri wa series wafanye Lollipop > A millie > John if i die today > How to love.
Pun intended.
Lil wayne series.....Hah hahahaaaaaah..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom