Je wewe kama mdau wa maendeleo unadhani nini kifanyike kwa wananchi wa KWAMSISI Tanga wanaokwamisha maendeleo ya nchi

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,721
24,141
#. KWAMSISI.....

Kutokana na kiu kubwa ya wananchi kutaka maendeleo endelevu hasa kwenye Mambo ya miundo mbinu ambayo kimsingi huunganisha nchi na kukuza uchumi wa nchi
hivyo kupelekea kukua kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja

Katika hali isiyo ya kawaida kutokea duniani ni pale ambapo wazee wa Kwamsisi wameweka masharti magumu kwa serikali ili kujenga barabara ambapo walisema wanahitaji milion 21 ili wafanye tambiko.....pamoja na makubaliano ya kupunguza lkn bado inaonekana kuna ugumu fulani hivi.....

Je unadhani nini kifanyike ili kuwashikisha adabu wanakiji wanaopinga suala la ujenzi wa barabara

Binafsi nashauri wapelekwe wajeda stick zikatembezwe Kijiji kizima
FB_IMG_16398071169857831.jpg
 
#. KWAMSISI.....

Kutokana na kiu kubwa ya wananchi kutaka maendeleo endelevu hasa kwenye Mambo ya miundo mbinu ambayo kimsingi huunganisha nchi na kukuza uchumi wa nchi
hivyo kupelekea kukua kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja

Katika hali isiyo ya kawaida kutokea duniani ni pale ambapo wazee wa Kwamsisi wameweka masharti magumu kwa serikali ili kujenga barabara ambapo walisema wanahitaji milion 21 ili wafanye tambiko.....pamoja na makubaliano ya kupunguza lkn bado inaonekana kuna ugumu fulani hivi.....

Je unadhani nini kifanyike ili kuwashikisha adabu wanakiji wanaopinga suala la ujenzi wa barabara

Binafsi nashauri wapelekwe wajeda stick zikatembezwe Kijiji kizimaView attachment 2048350
Waachwe tu na uchawi wao
 
Back
Top Bottom