Wapendwa
Natumaini wote mlikuwa na weekend njema.
Hivi ulishawahijiuliza ingekuwaje kama kungekuwa na uwezekano wa kurekodi zile confessions za mapenzi, viapo vya nakupenda sana, sijiwezi juu yako n.k tunavyopeana mwanzoni mwa mahusiano? Je unadhani kama mambo yanakwenda mrama, kisha uka'iplay' that tape back...... kungekuwa na kuumizana, kuachana??
Nawaza tu kwa sauti maana mapenzi nilonayo kwa mwandani, na mahashuo nnayomuashua nahofia yasijenisuta siku moja nkijikuta namfanyia visa (MUNGU pitishia mbali) LOL.
Nakumbuka nliambiwaga .............Wallah we mwanamke nakupenda, ukijaniacha nakuua.......afu nikaachwa mie!!!!
mkuu mbu hayo mengine yote ni sawa
lakini hilo no 1 ni ngumu mno
kwenye mapenzi tukishanogewa ndo ahadi zinatoka zenyewe mdomoni
yaani utasema mdomo unajitegemea hivi lol

Maisha ni safari,kwenye safari kuna mambo mengi ukilijua hilo utamtanguliza Mungu kwenye kila jaribu tunalokutana nalo.MJI kuna wakati huwa nawaza uliyosema lakini nimejikuta mara zote nikimshukuru Muumba.

Ulishawahi kujiuliza kama maisha yangekuwa hayana maumivu nani angefikiri kwa ajili ya kesho,tungekuwa wabunifu ,tungethamini yale mazuri tunayopata kwa wenzetu naendelea kuwa mwanafunzi mzuri,kumpenda,kumuheshimu baada ya kujikwaa mara nyingi MJI.
iyo sentensi yako ya mwisho imeniumiza sana, mi nawaza nikija kufumania tu, sijui itakuwajeWapendwa
Natumaini wote mlikuwa na weekend njema.
Hivi ulishawahijiuliza ingekuwaje kama kungekuwa na uwezekano wa kurekodi zile confessions za mapenzi, viapo vya nakupenda sana, sijiwezi juu yako n.k tunavyopeana mwanzoni mwa mahusiano? Je unadhani kama mambo yanakwenda mrama, kisha uka'iplay' that tape back...... kungekuwa na kuumizana, kuachana??
Nawaza tu kwa sauti maana mapenzi nilonayo kwa mwandani, na mahashuo nnayomuashua nahofia yasijenisuta siku moja nkijikuta namfanyia visa (MUNGU pitishia mbali) LOL.
Nakumbuka nliambiwaga .............Wallah we mwanamke nakupenda, ukijaniacha nakuua.......afu nikaachwa mie!!!!
Huu wimbo umenikumbusha ..mbaaaali sana! tena sana...Thanks! Mungu ni mkubwa tumetoka mbali..
Huu wimbo ni katika kuburudisha tu Mkuu, nani kakwambia miaka 30 🙂 ni uzee, Mkubwa? Bado unadai sana tu....cha muhimu ni kuomba Mwenyezi Mungu atujaalie maisha marefu na afya njema....
LoL Mbu ndo unataka kusema kina sie ndo wale wakubeba na mizigo from one relationship to another?! Lol kwangu mie naamini nimeshapona na hata kama kuna kovu ntajitahidi mwenza wangu wa sasa asilione au kulihisi!....mwj1, usipoufumgua moyo wako na kupenda tena sitakulaumu. Yaonyesha donda ndugu na huyo alokujeruhi amefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuhakikisha mapenzi ulompatia hakuna atayekuja kuyafaidi tena.

Am different. Pamoja na yote nilopitia, naamini mwenza wangu anastahiki kupata mapenzi yangu yote. Majeraha ya kale hayamhusu. I mean, Hayahusu kukuumizia wala kujilinda nayo kwako ewe Mwj1...nimekujibu?

Mimi huwa nasema kuwa its funny kwamba

mapenzi yanapoanza kwa wengi wanakuwa wazungu zaidi....

Mwendo ni honey,sweetheart...baby.......my love ......n.k.....

Sasa wakati wa kuachana tunaachana kiswahili.......utasikia...

We mwanamke gani,ooh mbwa kabisa,nguruwe na matusi ya nguoni

ambayo yote kwa kiswahili tena fasaha.....

Sasa huwa nacheka...najiuliza...kwa nini kutongozana kiswahili hamjui,

kuachana ni we mama nanihi kwenda kwenu,nisikuona hapa .mbwa kabisa...

Tuachane kwa kiingereza pia.....lol
Nakumbuka nliambiwaga .............Wallah we mwanamke nakupenda, ukijaniacha nakuua.......afu nikaachwa mie!!!!

Inaonekana unaacha vibaya mweee, mie nikiachwa sijui nitafanyaje mie hata kwenye vihusiano vile nilikimbia mie ila kimyakimya taratibu bila kutukana
Wapendwa
Natumaini wote mlikuwa na weekend njema.
Hivi ulishawahijiuliza ingekuwaje kama kungekuwa na uwezekano wa kurekodi zile confessions za mapenzi, viapo vya nakupenda sana, sijiwezi juu yako n.k tunavyopeana mwanzoni mwa mahusiano? Je unadhani kama mambo yanakwenda mrama, kisha uka'iplay' that tape back...... kungekuwa na kuumizana, kuachana??
Nawaza tu kwa sauti maana mapenzi nilonayo kwa mwandani, na mahashuo nnayomuashua nahofia yasijenisuta siku moja nkijikuta namfanyia visa (MUNGU pitishia mbali) LOL.
Nakumbuka nliambiwaga .............Wallah we mwanamke nakupenda, ukijaniacha nakuua.......afu nikaachwa mie!!!!
Maneno mengine wakati wa kutongozana huwa yanatamkwa kunogesha penzi tu, wala hayatoki moyoni. Kwa hiyo hata ukiyarekodi yanaweza yasisaidie sana kuamsha hisia upya pindi mapenzi yakishachuja! I am just thinking aloud!
Enzi hizo unatumiwa cards, maua loh after a while ndo yanatimia yaliyosemwa na The Boss..........hivi ikitokea anakukorofisha/anakuacha ukimkusanyia cards zoooote ukamtumia!! hawezibadili mawazo? haiwezi kutrigger mapenzi ya mwanzo??? hahahahhah