Je, Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Je, Ingekuwa wewe ungefanyaje?

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,776
Baada ya kuitazama hii video nimeona niwaletee huku jukwaa la Magonjwa ya Moyo na Utu muitolee maoni yenu.

Je, mkeo ndiyo anamfanyia hivyo mzazi wako, ungefanyaje?

Last edited by a moderator:
Baada ya kuitazama hii video nimeona niwaletee huku jukwaa la Magonjwa ya Moyo na Utu muitolee maoni yenu.

Jee, mkeo ndiyo anamfanyia hivyo mzazi wako, ungefanyaje?

Ni kumfukuza mke, wanawake wapo wengi duniani ila mama ni mmoja tuu duniani. How your wife can do that?
 
Last edited by a moderator:
heheee.. sijafikiria bado.. inaudhi na inakera sana.. tafadhali uweke warning! sema hata anampiga mwizi au mgonjwa lakini sio Mama.
 
Baada ya kuitazama hii video nimeona niwaletee huku jukwaa la Magonjwa ya Moyo na Utu muitolee maoni yenu.

Je, mkeo ndiyo anamfanyia hivyo mzazi wako, ungefanyaje?

Inauma.

Vipi siasa za mafuriko ya Dodoma umezikimbia?
 
Last edited by a moderator:
Inauma.

Vipi siasa za mafuriko ya Dodoma umezikimbia?

Hapa ni jukwaa la Maradhi ya Moyo na Utu, siasa ziwache kule kule.

Juma Bhalo aliimba "maradhi yote uguwa ila mahaba siombee".
 
Hapo kuna mawili kwanza kiburi chote hiko kinatokana na nini ?? Waweza kuta yeye ndio mbeba family nzima kipato yeye ndio anasababisha so mwanaume anasinyaa kidogo kidogo mpaka inafikia hapo wazee tutafute hii shilingi watatutoboa macho hawa watu wa dunia nyingine kabisa :sick: kuna vitu vingine waweza hisi kufa kufa flani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom