Je Ingekua Tanzania, kiingeleweka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Ingekua Tanzania, kiingeleweka?

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Dec 20, 2008.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Dec 20, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  More cars crushed at congested Mombasa Port  [​IMG]

  Some of the vehicles at the Port's G-Section being crushed on Thursday. They were said to have stayed unclaimed for more than ten years. Kenya Revenue Authority intends to crush more than two hundred cars by the end of December.

  [​IMG]

  Folk-lift operators ferry two cars that were said to have stayed at the Port's G-Section for more than ten years

  [​IMG]

  A Kenya Ports Authority security officer and a senior police officer walk past some of the crushed vehicles at the Port's G-Section as Kenya Revenue Authority resumed crushing more vehicles at the port of Mombasa on Thursday. The vehicles were said to have stayed unclaimed for more than ten years. KRA intends to crush more than two hundred cars by the end of December.


  [​IMG]


  My take:

  Instead of crushing the cars, jamaa wangezitia mnadani
  watu wakafaidi.But yet again there go the skewed ideas
  of some of our policy makers.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hawa jama ni malimbukeni aisee..
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2008
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  LACK of imagination at its highest order.Thanks Ab-Titchaz at least we know what we have in EA.
   
 4. RR

  RR JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Mkuu Ab, I don get it.
  If they didn't need the monies from auctioning the vehicles, they could have let the 'wananchis' get (scramble for) the cars for free...at least instead of incurring the crashing costs.
  May be something is missing in the story, that they are 'recycling' the cars rather...or the conditions of the cars don get past the Kenya's environmental standards for used cars (if they have any).
  Unakumbuka wakati ulee...walichoma pembe za ndovu?
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Dec 20, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani inasaidia kupunguza rushwa miongoni mwa maafisa wa kodi kwa vile tabia hii ya kuuza magari ambayo hayakugombolewa bandarini imewafanya maofisa wa kodi Tanzania kuwa wanakadiria kodi kubwa sana kwa magari wanayopenda kusudi wenyewe ashindwe kuyalipia kodi halafu maofisa hao wayanunue wao kwa njia ya mnada.
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  Dec 20, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Roya Roy,

  acha nikupe masikitiko ya hii ishu.

  Haya magari yanayobamizwa yalikua Bandarini tangu niko Kenya sijakula safari.Watu (locals) tukawa tunasema magari yatiwe mnadani watu wafaidi lakini serikali ya Moi haikuona kama ni ishu poa maana hawangepata posho..it was strictly meant to benefit wananchi.

  Sasa tunaona baada ya 10yrs of these cars languishing at the port, kaja mtu na akili punguwani akaamuru magari yabondwe into pieces.Ujinga ni kwamba the people have lost and the govt has incurred expenses instead of monies...kweli wajinga ndio waliwao.

  Afu pia mkuu, asikudanganye mtu Kenya kuna "environmental standards" when it comes to cars and such...magari yanafuka moshi utadhani yanatumia kuni ku-run their engines.

  P.S. Ishu ya pembe za ndovu ni mjadala wa wakati mwengine.Word is that pembe za kikweli zilikula kona naswi tukazubaa kwenye TV huku jamaa wanachoma plastiki!
   
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Dec 20, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kichuguu,

  Heshima natanguliza.

  Hii ishu ikifanywa above the board hakutakua na ufisadi wala nini.If anything, baadhi ya hao maafisa wa bandarini walikua wanadhani watawahi haya magari lakini mkulu mwenyewe kasema yawe crushed.
   
  Last edited: Dec 21, 2008
 8. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  "Waafrika ndivyo tulivyo"-NN
  Kuna mtu hapo alifikiria anawakomoa watu wengine kumbe anajikomoa mwenyewe.
   
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  Dec 21, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Interesting to see, hawa wote walishindwa kulipia gharama za kuondosha magari bandarini?

  Frankly speaking, gharama za Tz ziko juu sana kutoa gari bandarini. Almost 95% of CIF price for the 1999-2003 cars! Ni gari la 2006 tu ambalo nilikuwa charged 65% ya CIF price
   
 10. M

  Mkenya Member

  #10
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 51
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Ab,

  Is there anything positive you can talk about your country??
   
 11. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Kama hamna unataka adanganye?
   
 12. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #12
  Dec 21, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,565
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Kenya+Uganda+Rwanda = EAC, Maana wanafanana fanana eti, at least Rwana wana strategy na new vision .

  Tanzania EAC?? -God forbid!
   
 13. RR

  RR JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Really? At least that was 'brilliant', but those aren't plastic cars.
   
 14. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  This is strictly from my powers of observations and logic. I could be wrong.

  * Car bodies don't rust in Afrika, and thus can last long.
  * Cars in the pictures seems 'stripped' of all valuables, including engines by the way they crush... doesn't it look like a hollow hood? Do you notice the cars with tyres, have bad tyres?
  * Afrikans aren't wasteful, and I can't think of any race that recycles better than Afrikans.

  Therefore, it is my opinion that these aren't good cars at all, and in fact, are skeletons that were occupying space that could be valuable for other things.
   
 15. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #15
  Dec 22, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mkenya,

  Kenya is not my country kwa taarifa yako.

  Nchi iliuziwa wakikuyu na wahindi..wengine wote
  ni walalahoi tu na wabangaizaji.

  What postive things can you say about a country that
  is awash with corruption and thiefery?Kura za '07 ziliibiwa na
  Kibaki in broad daylight 'afu unataka nije hapa kusema kitu
  chochote postive kuhusu mahayawani kama hao?Where do
  I start?,,,nchi inakwenda na maji hio na nakutakia kila la
  heri kuiepua kutoka jinamizi linalokuja.

  Baaden.
   
 16. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #16
  Dec 22, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Roya Roy,

  Hio ilikua bonge la skendo na tetesi ni kwamba kuna dem
  f'lani mtalii (Julie Ward) kutoka Uingereza ambaye ali-stumble upon
  something wakati anatalii mbuga....whatever she stumbled
  upon caused her to loose her life under very brutal circumstances.
  ...rumor is alikutana na zile pembe za kikweli huku wakenya wa
  kawaida wakipiga vifijo na nderemo eti pembe za poachers
  zimekamatika.
   
 17. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #17
  Dec 22, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Icadon,

  afazali umemwambia...nchi waliiiba hawa wahuni afu
  wanataka eti watu watembee huku nje wakisema eti
  "najivunia kua mkenya"...ukatuni mtupu aisee!

  ...afu pia kama ulivyomuuliza je anataka nidanganye?
  akitaka hizo positive story mwambie akamsilikilize
  Govt spokesman wa Kibaki kwa jina Mutua Goebels..

  sisi wengine tuko kwenye mishen ya kuleta undugu wa
  kikweli na sio porojo za serikali ya Kibaki na wale wanaopigia
  debe EAC ilimradi waje kuiba mashamba ya watu bongo.
   
 18. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #18
  Dec 22, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Invii,

  hapo ndo balaa yenyewe.Why would they charge a high CIF price
  knowing itakua kikwazo when it comes to people getting their
  cars out of the Port?By the time gari linafika bandarini hua lishalipiwa
  na hizi CIF price tags hua ni wizi tu.Imagine if an individaul can come
  up with CIF mpney then unapoteza gari ijapo ulikua ushaitolea hlea
  kibao?...Reality ni kwamba sio wengi wenye hela na the Govt would
  be doing justice by lowering these prices especially kama gari ni la
  domestic use.
   
 19. N

  Namtih58 JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 236
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ninavoona mimi hii idea ni poa sana. Kwanza wata ya crush haya magari halafu wayauze kama scrape. Kwa hiyo port itapata angalau hela kidogo ku offset gharama ya storage.
  secondly sheria za kuiport magari kenya zimebalika.

  Kwanza huwezi ku iport gari older than miaka minane

  Pili gari lenyewe haliwezi kuwa left hand drive, isipokuwa kwa special purpose kama ambulance n.k

  Halafu pia ninavyo elewa mafuta wamebadili kuanza kutumia unleaded kupunguza polutio, kwa hiyo magari yatakayo letwa sasa lazima yawe na catalytic converter.

  Sheria hizi zililetwa baada ya serikali ya moi, kwa hiyo magari yote ambayo bado yalikuwa hayajakuwa cleared na haya comply nazo hayawezi kukubaliwa kuingia kenya kwa hiyo KPA hiwezi kuya auction ila tu kuyauza kama scrape metal ndo maana wana ya crush.
   
 20. H

  HellFire20 Senior Member

  #20
  Dec 23, 2008
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Well said, so all of you who are huffing and puffing can give it a rest especially you Abu Titchas.
   
Loading...