Je inawezekana ku apply kazi zingine ikiwa umeshaajiriwa kwenye taasisi za Serikali?

Willard Jonnes

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
361
750
Wakuu mfano mtu ameajiliwa TANAPA hili ni shirika la umma kupitia Utumishi portal je Ikitokea Kazi mfano TANESCO anaruhusiwa ku apply? Na je aki apply na akaitwa interview na akafaulu usaili.

Je, ataruhusiwa kuhama Tanapa na kwenda Tanesco?
 
Unahama tu but kama Kweli upo TANAPA. mi sikushauri uhame japokuwa upo chaka huko bt vumilia tu uendelee kula keki ya taifa ,na Kigwangala
 
Wakuu mfano mtu ameajiliwa TANAPA hili ni shirika la umma kupitia Utumishi portal je Ikitokea Kazi mfano TANESCO anaruhusiwa ku apply? Na je aki apply na akaitwa interview na akafaulu usaili je Ataruhusiwa kuhama tanapa na kwenda tanesco?
Hivi mkuu TAN 01 SALARY kwa tanapa ndio shilingi ngapi?
 
Utamwandikia Barua DG Wa TANAPA Halafu Ndiyo Inakwenda Utumishi Halafu Tanesco
Hoja Ya Msingi Upo Tayari Kupunguzwa Salary Scale
Niko tayari mkuu na hii barua naandika wwkati nafanya job application au baada ya kuwa tayari nimeshafaulu usaili?
 
Yan hyo job application lazma ipite kwa muajiri wako wa sasa ambaye ni TANAPA
Niko tayari mkuu na hii barua naandika wwkati nafanya job application au baada ya kuwa tayari nimeshafaulu usaili?
Capture%2B_2020-06-01-15-15-49.jpeg
 
Mi najiulizaga tu hivi boss uliyepo nae sasa akijua unataka kuhama sehemu nyingine then uka-apply halafu ukaikosa hiyo nafasi hawezi kuwa anakuletea figisu figisu au hawezi kukupa remarks zisizo vutia huko unakotaka kwenda Wakuu...?
 
Utamwandikia Barua DG Wa TANAPA Halafu Ndiyo Inakwenda Utumishi Halafu Tanesco
Hoja Ya Msingi Upo Tayari Kupunguzwa Salary Scale
Hivi swala la kupunguza salary scale linahusu pia kwa zile nafasi za tranfer mfano kutoka tamisemi kwenda NIMR
 
Back
Top Bottom