RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,470
- 1,669
Najua mkuuMtego huo,atakuwa keshatiwa mimba huko na mhuni huko!Usije sema sijakwambia
Apo sasaKwamba kimeumana uko hadi mrudiane au
Sio kwamba mnakua mshajifunza kutokana na makosa ya mwanzo?Upumbavu tu, kama mwanzo mlishindwana msitegemee kuwezana hata mkirudiana mbele ya kasisi! Sababu ile ile iliowafanya mtengane mwanzo ndio itawatenganisha upya!
Kwa mabaharia kurudisha EX ni swala la kimkakati zaidi!
Hakunaga hio labda kama mmeokoka kikweliSio kwamba mnakua mshajifunza kutokana na makosa ya mwanzo?
Kwamba safari hii kila mmoja anakua makini kutomuudhi mwenzie?
Wakuu hope mko poa,
Hivi hii imekaaje mtu kurudiana na Ex wake,, je ni vibaya?? Kama ni vibaya why.
Je mapenzi yanadumu kwa ma ex kurudiana.
Je inawezekana ex wakarudiana na penzi likadumu hadi ndoa( kwa ambao walikuwa hawajaoana).
Kurudiana kupo.Wakuu hope mko poa,