Je, inawezekana Ex wakarudiana na penzi likadumu?

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,456
1,662
Wakuu hope mko poa,

Hivi hii imekaaje mtu kurudiana na Ex wake,, Je, ni vibaya? Kama ni vibaya why.

Je mapenzi yanadumu kwa ma ex kurudiana.

Je inawezekana ex wakarudiana na penzi likadumu hadi ndoa( kwa ambao walikuwa hawajaoana).
 
Upumbavu tu, kama mwanzo mlishindwana msitegemee kuwezana hata mkirudiana mbele ya kasisi! Sababu ile ile iliowafanya mtengane mwanzo ndio itawatenganisha upya!

Kwa mabaharia kurudisha EX ni swala la kimkakati zaidi!
 
Sio kwamba mnakua mshajifunza kutokana na makosa ya mwanzo?

Kwamba safari hii kila mmoja anakua makini kutomuudhi mwenzie?
 
images(2).png
 
Inategemea na NTU na NTU na namna mlivyoachana. Kuna kuachana kwingine ni varangati hasa na kwingine hakuna varangati la namna yoyote.
 
Katika idadi ya maex wangu wooooote ni mmoja tu ndio alininyima-ga qumma baada ya kupotezana kwa muda mrefu tukaja kuonana tena na sababu yenyewe ni kwamba alikuwa na jamaa yake akabananika sana
 
Wakuu hope mko poa,

Hivi hii imekaaje mtu kurudiana na Ex wake,, je ni vibaya?? Kama ni vibaya why.

Je mapenzi yanadumu kwa ma ex kurudiana.

Je inawezekana ex wakarudiana na penzi likadumu hadi ndoa( kwa ambao walikuwa hawajaoana).

Kwa wengine inawezekana, kwa wengine haipo hiyo na wengine wanaweza kurudiana as friends with benefits.

Mara nyingi mustakabali wote unategemea mliachana kivipi, mazingira gani? Sababu zipi na pia hali ya mahusiano wenu mnapofikiria kurudiana.

Kikubwa sana kinachokwamisha au kuchochea kurudiana ni trust. Endapo trust ilivunjwa wakati mnaachana, siyo rahisi mkarudiana na kuishi kwa amani.
 
Wakuu hope mko poa,

Hivi hii imekaaje mtu kurudiana na Ex wake,, je ni vibaya?? Kama ni vibaya why.

Je mapenzi yanadumu kwa ma ex kurudiana.

Je inawezekana ex wakarudiana na penzi likadumu hadi ndoa( kwa ambao walikuwa hawajaoana).
Kurudiana kupo.

Yaan katika haya mahusiano hua iko hivi, unaweza kua na mtu mkaona vitu fulan fulan havi match, labda tuseme 70% ndo mnaelewana, 30% iliyobaki mnapishana.

Sasa hapa inabidi muangalie hii 30% mnaitatua vipi. Maana so long as kila mtu ni unique, hamuwez ku match Kwa 100%. Ikitokea mmeshindwa kuitatua hii ndo mnaamua kwenda kutafuta mwenye angalau zaidi ya hii.

Unaweza kuzunguka huko, ukatafuta wee, mwisho wa siku ukaja kugundua heri 30% za huyu zilikua zinavumilika. Huko mmekutana labda na mtu mna match 20% tu.

Wale walioachana kwanza wanakua wanajuana madhaifu yao, na pili washajifunza huko kwengine walikoenda. Cha msingi tu ni ujihakikishie huko alikokua alikua salama, usije ukaangushiwa jumba bovu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom