Je, inawezekana Ex wakarudiana na penzi likadumu?

Wakuu hope mko poa,

Hivi hii imekaaje mtu kurudiana na Ex wake,, Je, ni vibaya? Kama ni vibaya why.

Je mapenzi yanadumu kwa ma ex kurudiana.

Je inawezekana ex wakarudiana na penzi likadumu hadi ndoa( kwa ambao walikuwa hawajaoana).
Yaaap hakuna kinachoshindikana katka dunia hii chini ya kitovu vyote vinawezekana
 
Wakuu hope mko poa,

Hivi hii imekaaje mtu kurudiana na Ex wake,, Je, ni vibaya? Kama ni vibaya why.

Je mapenzi yanadumu kwa ma ex kurudiana.

Je inawezekana ex wakarudiana na penzi likadumu hadi ndoa( kwa ambao walikuwa hawajaoana)
Majibu;
1.Hivi imekaaje MTU kurudiana na Ex wake? -IMEKAA POA.
2.Mapenzi yanadumu? -YANADUMU NDIYO SI DO MAANA YA KURUDIANA.
 
Kurudiana kupo.

Yaan katika haya mahusiano hua iko hivi, unaweza kua na mtu mkaona vitu fulan fulan havi match, labda tuseme 70% ndo mnaelewana, 30% iliyobaki mnapishana.

Sasa hapa inabidi muangalie hii 30% mnaitatua vipi. Maana so long as kila mtu ni unique, hamuwez ku match Kwa 100%. Ikitokea mmeshindwa kuitatua hii ndo mnaamua kwenda kutafuta mwenye angalau zaidi ya hii.

Unaweza kuzunguka huko, ukatafuta wee, mwisho wa siku ukaja kugundua heri 30% za huyu zilikua zinavumilika. Huko mmekutana labda na mtu mna match 20% tu.

Wale walioachana kwanza wanakua wanajuana madhaifu yao, na pili washajifunza huko kwengine walikoenda. Cha msingi tu ni ujihakikishie huko alikokua alikua salama, usije ukaangushiwa jumba bovu.
umefafanu vyema.

komenti yangu ya kwanza kwenye ili jukwaa.
kumbe kuna utamu uku kuliko kule kwenye siasa.
 
Back
Top Bottom