Je ilishawahi kutokea kwako?

Je ilishawahi kutokea kwako?

Kwangu mie ilishatokeaga nilipokua skull nlikuaga nanunuliwa soda chauro na mengine mengi sana sema nlikuaga sijajitambuaga so washikaji wakanitonyaga kwamba dem alikuaga amenikubalii sana .....mimi mwenyew hakuwa kanikaaa kivileee hiyo ni kwa kifupi
 
Kawaida mkuu usiombe dem akubananishe😃😃
 
Habari wanajf,natumaini mko poa!,Mina maswali yangu,ningependa kila mtu anipe udhoefu wake,kama wwe ni mwanaume je ulishawahi kutongozwa na mwanamke?,akakuambia live kabisa anakupenda na angependa muwe pamoja bila ya wewe kutarajia kitu kama hicho,hilo swali haliwahusishi machangudoa,napenda mchango wenu boyz tafadhali kwenye hilo,kwa upande wa wanawake,je wwe kama mwanamke ulishawahi kumtongoza mwanaume live kabisa bila yeye kutarajia?,hili swali pia aliwahusu wanawake machangu ndoa,Bali wanawake wale wa kawaida2,binafsi nimeuliza hivyo coz nimeshawahi kutongozwa na wasichana wengi2 tena wanaojiheshimu2 sio wanaojiuza,nataka nijue hii hali ya kutongozwa na wanawake inanitokea mmi2 au na wanaume wenzangu wengi2 inawatokea?,coz nimeuliza marafiki zangu wengi wanasema kwao haijawahi tokea!,mchango wenu tafadhali!

Nawasilisha!!

Ndugu yangu wanawake na wanaume wote ni BINAADAMU katika sayansi hawa wapo katika kingdom animalia na wanashare tabia sawa kwakua ni wanaadamu.kama jinsi ulivyo na hisia ndivyo nao walivyo lakini katika nchi zetu za kiafrica tumeweka mbele tamaduni na mia ambazo mwanamke anaonekana kukandamizwa nazo hivyo hata kama anahisia ni ngumu kueleza kwa mwanaume.lakini itoshe kukuambia jambo hili si la ajabu maana nao wanamihemko na ubongo kama wako ambao hisia huwafikia kwahiyo si kwamba mwanamke akikutongoza ni malaya lakhasha badala yake uheshimu kama wewe ukitongoza utakavyopenda hisia zako ziheshimiwe.
asante
 
Back
Top Bottom