Je ilishawahi kutokea kwako?

Je ilishawahi kutokea kwako?

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari wanajf,natumaini mko poa!,Mina maswali yangu,ningependa kila mtu anipe udhoefu wake,kama wwe ni mwanaume je ulishawahi kutongozwa na mwanamke?,akakuambia live kabisa anakupenda na angependa muwe pamoja bila ya wewe kutarajia kitu kama hicho,hilo swali haliwahusishi machangudoa,napenda mchango wenu boyz tafadhali kwenye hilo,kwa upande wa wanawake,je wwe kama mwanamke ulishawahi kumtongoza mwanaume live kabisa bila yeye kutarajia?,hili swali pia aliwahusu wanawake machangu ndoa,Bali wanawake wale wa kawaida2,binafsi nimeuliza hivyo coz nimeshawahi kutongozwa na wasichana wengi2 tena wanaojiheshimu2 sio wanaojiuza,nataka nijue hii hali ya kutongozwa na wanawake inanitokea mmi2 au na wanaume wenzangu wengi2 inawatokea?,coz nimeuliza marafiki zangu wengi wanasema kwao haijawahi tokea!,mchango wenu tafadhali!

Nawasilisha!!
 
Je tukikwambia itakusaidia nn?
Na kumbe tayar ulishawahi kuambiwa kuwa unapendwa basi furahia na kushangilia kwakuwa tayar unapendwa
 
Je tukikwambia itakusaidia nn?
Na kumbe tayar ulishawahi kuambiwa kuwa unapendwa basi furahia na kushangilia kwakuwa tayar unapendwa

Mkuu nataka nijue2,je hii hali ni ya kawaida2 siku hizi!,wanawake kutongoza mwanaume!
 
Mmmhhhh hiyo ni kawaida kwa wenye hicho kismart koz hata me ilishawahi kunitokea but nkagundua huwa inatokea pale unapokuwa huna story na mamanzi uwe mtu mkimya usiwe na scandals na pia usiwe soo au not talkertive..!
 
Oky!,hapo nimekusoma vizuri mkuu!,kumbe hata wwe imeshawahi kukutokea eeh!!
 
Haoo si wanawake wa kawaida ni malaya bali wanajifanya kama wa kawaida
 
mbona mie wamenitongoza sana na ukiwakubalia ni vigumu sana kuachana nao yani labda uhame eneo hilo au mkoa
 
Haoo si wanawake wa kawaida ni malaya bali wanajifanya kama wa kawaida

Oky!,labda inawezekana ikawa hivyo!,lakini mademu walionitongoza mmi mbona huwa nawaona wastarabu2!!
 
mbona mie wamenitongoza sana na ukiwakubalia ni vigumu sana kuachana nao yani labda uhame eneo hilo au mkoa

Oky,nimekusoma mkuu,kumbe tupo wengi tunao kutana na hali hiyo,binafsi mademu wengi walionitongoza niliwakatalia!!
 
Mkuu nataka nijue2,je hii hali ni ya kawaida2 siku hizi!,wanawake kutongoza mwanaume!

Usione ajabu kwa mwanamke kutongoza ktk dunia ya sasa maana kama mpk jukumu la kulinda na kutunza familia wameachiwa why ushangae kutongoza? Wanajiona wanaweza fanya yale ambayo mwanaume anafanya!!!
 
Usione ajabu kwa mwanamke kutongoza ktk dunia ya sasa maana kama mpk jukumu la kulinda na kutunza familia wameachiwa why ushangae kutongoza? Wanajiona wanaweza fanya yale ambayo mwanaume anafanya!!!

Oky,kumbe ni kawaida2 eeh!!,basi nimeelewa!
 
mie ningepata fursa ya kukutana na Paul,ningemwambia nampendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa :yo::smile-big:
 
Back
Top Bottom