Habari zenu, samahani nilituma email sehem ya maombi ya kazi sasa wamenijibu kua nimepata ila wanaomba niwatumie INTERNATIONAL CERTIFIED LOGIC ASSESSMENT AND PSYCHOMETRIC (ICLAP) Je nini hiyo?
Nilivyoona iyo (ICLAP) nikawatumia miongoni mwa cheti changu kimoja cha kimataifa nilichokipata kwenye mafunzo flani, wakasisitiza kua hawataki icho wanahitaji iyo ICLAP kwa anae faham please anifahamishe,muhimu sana.
Elimu haina mwisho na kuuliza sio Ujinga.