Je huyu ni member gani wa JF?

Kama hujapitia maisha hayo au yanayofanana na kama Yale.. Kibongobongo hujui maisha hata kama unayo fedha...wee gasho tu
maneno ya vijiweni hayo,hata kama mimi nimepitia maisha ya shida nitafanya juu chini nimtengenezee mwanangu maisha mazuri.
maisha magumu sio sifa na hakuna mtu anayependa maisha magumu.
 
Mkuu hicho chumba umekiona?
emoji15.png

Hata mbwa wangu anakaa kwenye banda zuri kuliko hicho chumba.
Mshukuru sana mungu wako kwa alichokwisha kukupa na muombe sana akuepushe na roho ya kiburi na dharau. Naamini huyu ndugu haipendi kabisa hii hali
 
hapo anasoma mada jukwaa la siasa.

atakuwa eliza mfupa.
 
Back
Top Bottom