Je, huyu ni mdudu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, huyu ni mdudu?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by GM7, Aug 6, 2009.

 1. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Helo wanaJF wote.
  Wataalam naomba niulize. Kila nikiweka flash disk kwenye ya jamaa yangu, USB security yake inaandika hivi
  Je hii ni virus? na ina madhara gani kwenye Computer? Hivi antivirus ipi ni nzuri zaidi?
  Naomba mchango wenu na msaada wenu wapendwa wanaJF
   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  Aug 6, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ndio mkuu ni virus huyo,madhara yake ni mengi tu.na kushauri utumie kaspersky
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Aug 6, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni autorun kwa asilimia kubwa inaadhiri katika boot sector yaani kitu chochote kinachotumika katika kuboot ndio inaadhiri huko mfano kama una hard drive na ina partition angalia jaribu kufungua partition hizo utaona haziwezi kufunguka moja kwa moja hiyo inaweza kuondolewa na kaspersky ila baadhi ya versions , antivirus aina ya antivir inaweza kuiondoa , rising antivirus na pc doctor zineweza kuondoa hiyo , hiyo rising antivirus ina feature inayokuwezesha kudelete hiyo autorun moja kwa moja

  mwisho kuna programu inaitwa autorun remover hiyo inaweza kuondoa bila antivirus ina inasehemu unayoweza kuset vitu mbali mbali mfano kukataa flash isifunguke au isiweze kuhamisha data mambo kama hayo
   
 4. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sasa naanza kuamini kitu hicho kwa mfano ufuatao:-
  Mfano:
  Kwa mfano huo nadhani Computer ya kwanza imeathirika na autorun. Nitafuata ushauri wenu ili kutatua tatizo hilo.

  Computer yangu ina antivirus aina ya Avira Antivir personal Je hii ni nzuri kwa sasa?
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kama imeigundua na kuisafisha unataka nini zaidi? Mimi natumia Microsoft Security Essentials, bomba sana and free.
   
Loading...