Je huyu nae sio mtumishi wa umma?

GY

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,279
126
madeye kugombea ubunge arumeru magharibi?

Mkurugenzi usimamizi wa rasilimali wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni kamanda wa umoja wa vijana CCM wilaya ya Arumeru ambaye pia ni mlezi wa UWT wilaya ya Arumeru, Goodluck Ole Medeye, alipokua akizungumza na wazee wa mila mara baada ya kumletea ombi ya kumuomba agombanie ubunge wa Jimbo la Arumeru magharibi. Picha na mdau Woinde Shizza wa Arusha.
source: Michuziblogspot
 
Kumbe anataka kumdondosha nani kule Arumeru? Na kwa nini?Hivi ni visa tu vya Chama Tawala!
 
madeye kugombea ubunge arumeru magharibi?

Mkurugenzi usimamizi wa rasilimali wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni kamanda wa umoja wa vijana CCM wilaya ya Arumeru ambaye pia ni mlezi wa UWT wilaya ya Arumeru, Goodluck Ole Medeye, alipokua akizungumza na wazee wa mila mara baada ya kumletea ombi ya kumuomba agombanie ubunge wa Jimbo la Arumeru magharibi. Picha na mdau Woinde Shizza wa Arusha.​

source: Michuziblogspot​

Kazi ipo.
 
Kumbe anataka kumdondosha nani kule Arumeru? Na kwa nini?Hivi ni visa tu vya Chama Tawala!

Ametangaza nia ya kugombea sa sahihi kabisa wala si visa vya chama Tawala.

wakati ukifika wa kuchukua fomu sheria inamruhusu kuchua rikizo ya bila malipo au kujiuzuru wadhifa wake wa hiyari yake.
 
Ametangaza nia ya kugombea sa sahihi kabisa wala si visa vya chama Tawala.

wakati ukifika wa kuchukua fomu sheria inamruhusu kuchua rikizo ya bila malipo au kujiuzuru wadhifa wake wa hiyari yake.

Suala si nia ya kugombea, yeye ni kiongozi tayari ndani ya CCM, mbona hafukuzwi kama baregu
 
Sijui kama Mama Ghasia alikuwa anajua vigezo walivyovitumia kumrudi Prof Baregu vinaweza ku backfire. Mara nyingine tena najiuliza hivi kule kwenye ofisi hizi kubwa siku hizi watu wanapewa kazi kwa vigezo gani? Jana Rais nusura aingizwe mjini katika kugawa yale magari ya wagonjwa. Hiyo ndiyo Ikulu ya Tanzania bwana!
 
double standard ya utekelezaji wa sheria za jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, sheria inaangalia wewe ni nani ...
 
Hii ndiyo Tanzania, hadi Rais wa nchi anaingizwa mjini na watendaji wake anaowaamini
 
Suala si nia ya kugombea, yeye ni kiongozi tayari ndani ya CCM, mbona hafukuzwi kama baregu

Just for Curiosity, unaposema kuwa huyu mheshimiwa ni kiongozi wa CCM, je nafasi yake ni ya kikatiba, kwa maana ya kwamba anatambulika kama kiongozi wa chama kwa mujibu wa katiba ya CCM?
 
Just for Curiosity, unaposema kuwa huyu mheshimiwa ni kiongozi wa CCM, je nafasi yake ni ya kikatiba, kwa maana ya kwamba anatambulika kama kiongozi wa chama kwa mujibu wa katiba ya CCM?

Soma maandishi chini ya picha yenye rangi nyekundu
 
Just for Curiosity, unaposema kuwa huyu mheshimiwa ni kiongozi wa CCM, je nafasi yake ni ya kikatiba, kwa maana ya kwamba anatambulika kama kiongozi wa chama kwa mujibu wa katiba ya CCM?

kamanda wa vijana versus mjumbe wa halmashauri kuu ya chama ? mtumishi wa serikali si tu haruhusiwi kuwa kiongozi bali hata mwanachama wa chama cha siasa,Mama Ghasia ana bifu na Prof Baregu na sidhani kama ataendelea kuacha kuwachana, wapo wengi kama Baregu wametulia kwa sababu wanalinda mikate yao na ndo kwa maana hiyo maisha bora kwa kila MTZ ni ndoto!
 
Halafu hii BS ya kuwahonga wazee wachache halafu kujifanya umeombwa na wazee ni noma, inaonyesha watu wasaii from the get go.
 
Back
Top Bottom