Je!huu usemi una ukweli?

Je!huu usemi una ukweli?

SUPERUSER

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
960
Reaction score
308
"Nothing Pleases a woman than seeing another woman who looks fatter than her"
 
women bashing.......haya bana,mi najiweka pembeni,leo niko kwenye mood ya kujipendekeza kwa akina dada.
 
Jipendeze mwaya huwezi jua unaweza pata bahati mpaka ukashangaa......
 
Nafikiri hilo suala ni moyo wa mtu mwenyewe, siamini kama wanawake wote wana roho za namna hii!
 
Sidhani kama kuna ukweli wowote. Naona kama hizo ni hisia za mtu na mtu.
 
Back
Top Bottom