CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,481
Simu yako ni aina gani tukusaidieKuna mchezo unafanywa na makampuni ya simu wa kuwaibia watu! Simu yangu ilikuwa haipandishi mnara/inapoteza network. Nikaenda kampuni moja (siitaji kwa sasa).
Nikawaeleza tatizo wakasema hiyo imefungiwa tumbukiza kwenye dust bin/pipa hapo tukupe Itel ya 22,000 Tsh. Nikakataa maana simu yangu ni genuine by all standards.
Nikaenda kwa mafundi wa simu wakaniambia hiyo inahita network kuwa updated (Siyo kuflush tafadhali, that is against the law). Nikafanikiwa.
Nimeacha watu wanatumbukiza simu kwa kwenda mbele. Jioni mnasort out mnachukua zenye maana, una update network!???????
Wataalamu tuelimishe tafadhali.
samsungSimu yako ni aina gani tukusaidie
Modelsamsung
samsung gani model je ni androidsamsung
Asante, kwa maelezo mazuri sana. Nilimsikia yule wa TCRA anasema mafundi jiepushe na kuflush simu ni kosa la jinai. Nimekuelewa vizuri , kwa hiyo watu niliowaona wengi wanatapeliwa simu zao. Wapo waliokuwa na tatizo kama langu na wote wametumbukiza kwenye pipa!1. kuflash simu huvunji sheria, sababu
-simu haiwezi kuwekwa os hadi iflashiwe inamaana simu yako inawaka sababu mtengeneza simu ameiflash
-unapopokea update za simu ili zifanye kazi inabidi uziflash kwenye memory ya simu
-simu ikizingua ukiipeleka customer care nako inaenda kuflashiwa
kama ipo hio sheria ya kuflash inayokataza inamaana simu zote hapa nchini ni haramu, na zinatakiwa tuzikabidhi polisi zote. hata laptop, desktop zinazotumia ssd (ni flash memory) unapoeka windows una flash.
kinachokatazwa na TCRA ni kubadili IMEI, ukiflash hubadili imei, wale wanaobadili wanakua wamedhamiria kabisa kufanya hivyo ni issue nyengine hii.
2. inawezekana hao mafundi wanataka kukubadilishia imei nao una simu genuine wataibadili kuwa kimeo hivyo hapa pia kuwa makini.
3. mtandao wa simu hahusiki na simu fake na original hasa wale watu wa customare care wengi uwezo wao ni mdogo tumia njia ya TCRA kuangalia simu yako kama ni original na usiwatumie wao.
4. zipo case simu zinafanya kazi kwenye mtandao mmoja na mtandao mwengine haufanyi kazi nakushauri tafuta line ya mtandao mwengine halafu jaribu kama itapandisha network
yes androidsamsung gani model je ni android
je imei ya kwenye simu zina fanana na ya kwenye housing baada ya kutoa betri tafadhali usipost imei kwenye mtandaoyes android
yes zinafananaje imei ya kwenye simu zina fanana na ya kwenye housing baada ya kutoa betri tafadhali usipost imei kwenye mtandao
ulipo tuma TCRA imei ya simu yako inakubalika? km hazikubaliki haiwezi kufanya kaziyes zinafanana
inakubalika , inaangukia katika zile za ubora wa kati.ulipo tuma TCRA imei ya simu yako inakubalika? km hazikubaliki haiwezi kufanya kazi
ulipo tuma TCRA imei ya simu yako inakubalyes zinafanana
TCRA Hawajui kuflash simu tunawapa elimu hawataki hawawezi kutofautisha SP LOCK(THIS IS A PHONE LOCK SET BY USER),NETWORK LOCK(THIS IS SET BY NETWORK PROVIDER) REPAIR OR REBULID AND CHANGE OF imei hapo ndiyo patamu ni kosa kisheria kubadili imei lakini unaruhusiwa ku rebuild ama ku repair imei coz kwenye simu huwa zina corrupt hata simu original zilizo nyingi ni samsung zimefungiwa sababu imei zake zime haribika. kwenye MTK CPU ndo usiseme ukifanya factory reset imei inaondoka FLASHING IS WRITING AND ERASING A FIRMWARE TO A PHONE Sababu za kuflash simu 1.huwa ina stuck 2.Bilinking and restarting{kukonyeza na kuzima} magonjwa ni mengi sana1. kuflash simu huvunji sheria, sababu