Je huu ni ushamba?

Je huu ni ushamba?

As long as ni pesa yako hakiki tu mkuu
 
Me mwenyewe mzigo nahesabu palepale kwny ATM.Kwn kuna jamaa alikomandi 400000 zikatoka akasepa,heeee kumbe imevurugwa hiyo mashine imetoa 300000
 
Ni upuuzi tu. Watu kama hao ni wengi. Kwani kama hazija tumia kwa muda huo utafanyaje??? Wengi wao ni akina Dada ndo wana mchezo huo.
 
Siyo ushamba bali nahisi dishi lako limeyumba kidogo kwa hiyo sasahivi screen inaonyesha chenga tu.
 
Yaani watu kama wewe nilishakutana nao wengi, halafu wanachokera wanabaki palepale wakati wengine mnasubiria
 
Back
Top Bottom