julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
SaaalekuWewe kutaka kuasa watu wote hata wasiotukana wala kubeza, huu ni uungwana?
Wewe kutaka kuasa watu wote hata wasiotukana wala kubeza, huu ni uungwana?
5. Anakuja mtu na storry za kitoto kama tupo chekechea..je huu ni uungwana???Habari wana Jukwaa la MAHUSIANO, MAPENZI NA URAFIKI?
Naomba radhi kwa nitakao wagusa! Nimeamua kuimarisha uhusiano ndani ya jukwaa hili ili tusiwe na tabia hizi zisizo za kiungwana!
Napenda kuwauliza maswali kadhaa ili tuone kama huu ni ungwana,
1.Anakuja mtu na thread ya kweli watu wanamtukana kuwa katunga hata kama stori ni ya kweli, Je huu ni ungwana?
2.Anakuja mtu kuchangia hana uzoefu wa matumizi ya simu au laptop anakutana na ukurasa mmoja anatusi kuwa Jukwaa limevamiwa na anadharau wachangiaji hadi alie leta topic, Je huu ni ungwana?
3.Mtu kuchangia nje ya mada, je huu ni ungwana?
4.Kudanganya wana Jukwaa kwa kuleta stori za uongo je huu ni ungwana?
Najua yapo maswali mengi ya kujiuliza kama wanaotenda ndani ya jukwaa hili wanatenda ungwana kwa wahusika, Tujifunze na kusoma alama za nyakati, tuwape elimu wahusika kama haamini stori hajaalikwa kuchangia, nawaomba mtoe ushirikiano kuwapa hawa jamaa elimu kupitia uzi huu!
Kama huna ungwana mahusiano, mapenzi na urafiki sahau! hivyo ni bora kuhama jukwaa kuliko kukera wana jukwaa!
Nawasilisha hoja!
Kuwa na mahusiano na wasichana watatu,na bado ukawa hujui yupi umuoe huu ni uungwana?
Sasa hapa unataka uoteshe manundu...simooooooooooooooooKuwa na mahusiano na wasichana watatu,na bado ukawa hujui yupi umuoe huu ni uungwana?
Kuwa na mahusiano na wasichana watatu,na bado ukawa hujui yupi umuoe huu ni uungwana?[/QUOT]
Ahaaa! aaaahaaaa, si ungwana kama hawana matatizo/changamoto!
Sema kweli busara nimefunzwa si ungwana kumpoint mkosaji moja kwa moja, unapomuonya mkosaji mchanganye na wasio na makosa ili maadili umfunze! nje na hapo kisaikolojia madhara ntawatia wahusika!
Kuwa na mahusiano na wasichana watatu,na bado ukawa hujui yupi umuoe huu ni uungwana?
5. Anakuja mtu na storry za kitoto kama tupo chekechea..je huu ni uungwana???
6. Anakuja mtu na lugha za kihuni tena zisizo kiswahili au kiingereza.. je huu nao ni uungwana????
7. Anakuja mtu na kashfa za uongo kwa viongozi wa nchi au wanaosubiria kuchukua nchi...Je huu nao ni uungwana????
8. Anakuja mtu na propaganda za kisiasa na kidini na kuona yeye yuko sahihi..Je nao huu ni uungwana?????
9. Kuunda vikundi vya kuchangiana mada zenu kwa ushabiki huku mkipuuza wengine....je huu nao ni uuungwana??????
10. Kudharau wageni bila kuwapa mwongozo kistaarabu kama Great Thinker....Je huu nao ni uungwana?????????
Nauliza hayo yote hapo juu ni UUNGWANA???????????? na Tamatheo
Baeleze baelewe!
Eeeeh watu wanatunza kumbukumbu humu sijawahiona. Lakini jamaa ana hoja nzuri jamani kama kuna mtu anaguswa abdilike jukwaa liboresheke.
Eeeeh watu wanatunza kumbukumbu humu sijawahiona. Lakini jamaa ana hoja nzuri jamani kama kuna mtu anaguswa abdilike jukwaa liboresheke.
ndio hivyo.ila ana pint ya msingi saa nyingine unakuta mada za ajabu ajabu
hadi mtu unaboreka kuchangia
...kumfuata mkosaji na kumwambia in private ndio busara.