super mimi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 223
- 171
heshima kwenu wakuu... kwa kuweka mambo mubashara .....tuanze hivi ...vocha yako,muda wako ila kwa kitendo chako kuthamini wengine .......basi unaamua kumpigia jamaa ......ndo simu itaita weeee mpaka basi ..utapiga mara kadhaa bila kupokelewa...na hata ikitokea siku mmekutana hataonyesha kujali......je huu ni ungwana????????/