Je huu ni mfumuko wa bei?

Castle Lite bei imeshuka. Kwa hiyo ngoma droo!
 
Mbuzi niliye mnunua December mwaka juzi elfu 50, December mwaka jana kawa eflu 65 hilo ni ongezeko la 30 % kwa bidhaa hiyo.
 
Castle Lite bei imeshuka. Kwa hiyo ngoma droo!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa hiyo 4% si ndo mfumuko wenyewe au hiyo asilimia ilimaanisha kuwa hakuna mfumuko wa bei ...
Af kama balance vilee maana mfumuko hauangalii bidhaa moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…