Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,543
- 49,417
Bado anamuuliza nduguye maswali.Atakucheki tu uskonde!Dah yuko wapi nimsaidie kutafuta kadi tupate hela
Hilo laweza kuwa jibu sahihi.Atulie.Kuna michezo huwa inafanyika kwa kudhirikiana na wafanyakazi wa benki
Wao wanatoa siri za account ambazo ziko dormant kwa muda mrefu halafu zinatumika kupitisha pesa za dili
kuna boya mmoja ziliingia 250m, akanistua nikaenda kuongea na teller mmoja akasema anaweza toa hyo hela ila atachukua 25m, boya akakataa akaenda kwa branch manager, ndani ya nusu saa account inasoma laki na 72 yake.jambo dogo sana.
Piga hizo pesa.
Eeeh kumbe? Kuna siku nilipokea ujumbe toka benki, account yangu imehusika na malipo ya kampuni ya mafuta( moja kati ya makampuni makubwa ya mafuta yenye matank kule kigamboni). Nikapuuza kwa kuwa ni account ambayo sikuweka pesa muda.Kuna michezo huwa inafanyika kwa kudhirikiana na wafanyakazi wa benki
Wao wanatoa siri za account ambazo ziko dormant kwa muda mrefu halafu zinatumika kupitisha pesa za dili
project managers wa mabenk mara nyingi huwa wanatumia izo account kufanyia majaribio ya project zaoKuna ndugu yangu mmoja ana account huko CRDB, ila anasema haijatimia kwa muda mrefu kidogo.
Sasa wiki ya pili anapokea jumbe za alerts kuwa account yake imepokea sh. Kadhaa, mara baada ya muda mfupi anapokea tena jumbe kuwa account yake imetolewa fedha kiasi kadhaa sawia na ile pesa iliyoingia.
Nilimwambia aangalie Salio akasema kadi hajui iko wapi na app haiko kwenye simu yake. Alihisi account kapewa mtu mwingine.
Nikamwambia watu wa benki wako makini sana hawawezi kumpa mtu account yenye usawia na ya mtu mwingine. Pia kwanini namba ya simu hawajabadili.
Mimi nimemsanua may be ni mapapa, na asipoangalia jela inamngoja maana ni pesa nyingi sana.
Milioni mia , mia na kitu, milioni tisini, milioni mia mbili n.k
Kama ni mchezo mchafu nani anaibiwa?
Pesa wanasema zimetoka kwa swift
Naunga mkono hii hoja yako! Siku Moja nilienda kufanya mchakato wa mkopo baada ya mkopo kutoka Kuna kiasi ambacho walikikata sikuelewa kwa nini wanakata ila Wakasema hiyo pesa inayokatea utarudishiwa baada ya miezi 3! Hii kitu ilinipa maswali mengi sana lakini wakaniambia niondie wasiwasi hyo pesa utaipata nikachukulia poa TU!Kuna michezo huwa inafanyika kwa kudhirikiana na wafanyakazi wa benki
Wao wanatoa siri za account ambazo ziko dormant kwa muda mrefu halafu zinatumika kupitisha pesa za dili
jamaa bwege anapambania mgao mkubwa kama zake vilekuna boya mmoja ziliingia 250m, akanistua nikaenda kuongea na teller mmoja akasema anaweza toa hyo hela ila atachukua 25m, boya akakataa akaenda kwa branch manager, ndani ya nusu saa account inasoma laki na 72 yake.
Daaahhkuna boya mmoja ziliingia 250m, akanistua nikaenda kuongea na teller mmoja akasema anaweza toa hyo hela ila atachukua 25m, boya akakataa akaenda kwa branch manager, ndani ya nusu saa account inasoma laki na 72 yake.