Eustow Jw
Member
- Jan 1, 2019
- 36
- 62
Habari wanajukwaa.
Naombeni msaada wenu Kwa anayejua hili tatizo ambalo lipo kwenye laini yangu ya Vodacom
Mara kadhaa kwenye simu yangu nasikia inasema
Samahani namba unayopiga haipatikani Kwa sasa tafadhari jaribu tena baadaye,
Baada ya muda tena inajirudia hivyohivyo,
Wakati mwingine inasema huna salio la kutosha kupiga simu hatimaye napokea sms ya kupata Mkopo wa nipige tafu, ingawa ninakuwa na dk nyingi tu,
Yote hayo yanavyofanyika kwenye simu nikiangalia ili nijue kuwa nimempigia nani
Sikuti namba yoyote ile.
Juzi nilipiga Vodacom huduma Kwa wateja nikaishia kujibiwa kuwa niweke password kwenye simu kwamba inajipiga,
Wakati huo namwambia kuwa sioni namba yoyote Ile kama nimeipigia, mtoa huduma anakazia Tena Kwa kusema weka password tu, na hata hakusema ngoja nikutazamie nione shida ipo wapi.
Na muda si mrefu nimesikia simu hii imepiga halafu mtu akapokea akakohoa kama mara tatu hivii,
Akasema Hallooow nikamjibu kuwa wewe ni nani akajibu Kwa lugha nisiyoifahamu hata kwenye kiingereza haipo,
Bora ingekuwa kiingereza ili nihojiane naye nijue kinachoendelea, ikabidi niweke alama ya Aeroplane mode ndipo ikakata,
Hiyo alama huwa naiweka endapo tatizo hili nikilisikia na sauti hukata,
Simu ninayoitumia ni AZUMI,
Kwhy mpaka sasa sijajua shida Ni nini.
Je huu ndo udukuzi wenyewe ?
Naombeni msaada kwenu waungwana.