Je, huu mchoro unamaanisha nini?

Wenye akili mnaitwa. Sisi wengine tuliwekewa vichwa ila akili haikuwekwa. By the way(swali nje ya mada), hivi akili inapimwaje hadi kujulikana Kama mtu anayo au hana?
 
Wenye akili mnaitwa. Sisi wengine tuliekewa vichwa ila akili haikuwekwa. By the way(swali nje ya mada), hivi akili inapomwaje hadi kujulikana Kama mtu anayo au hana?
Ukijibu hili hutapata tabu , unavyoona wewe Lipumba yukoje ?
 
Wenye akili mnaitwa. Sisi wengine tuliwekewa vichwa ila akili haikuwekwa. By the way(swali nje ya mada), hivi akili inapimwaje hadi kujulikana Kama mtu anayo au hana?

Kwanza unajua akili ni nini...? Ukishajua ndio uulize hilo swali sasa.
 
Haya nahitaji kufahamishwa nawe maana mimi sijui. Akili ni nini?

Hahahahah.

Yupo mtu humu alielezea hiyo mada ila kama kweli unahitaji kujua inabidi utenge muda MAALUM wa kusoma hiyo mada aisee.

Ni KONKI X 5 mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…