da viper
Senior Member
- Dec 3, 2013
- 158
- 43
- Thread starter
- #41
SawaKipimo cha mimba ni elfu 2 tu na wala haichukui dakika 5 kujua, kwa nini uhangaike hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaKipimo cha mimba ni elfu 2 tu na wala haichukui dakika 5 kujua, kwa nini uhangaike hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mkuu kwa sasa unaitwa baba nani?Nimesex na demu wangu katika siku za hatari,baada ya siku kadhaa hivi anaonesha dalili flan hivi ambazo sielewi kama ndo tayari kashanasa au vipi.
Analalamika maumivu ya tumbo chini ya kitovu,uchovu na kulegea mwili,kutokwa na ute ute kwenye uke ambao unavutika,chuchu kubadilika rangi na kuwa nyeusi,kutojisikia hamu ya kula
Naomba kujuzwa zaidi viashiria vya dalili hizi
Sent using Jamii Forums mobile app