Je, hizi ni dalili za kutunga mimba?

Je, hizi ni dalili za kutunga mimba?

da viper

Senior Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
158
Reaction score
43
Nimefanya mapenzi na mwanamke wangu katika siku za hatari, baada ya siku kadhaa hivi anaonesha dalili fulan hivi ambazo sielewi kama ndiyo tayari kashanasa au vipi.

Analalamika maumivu ya tumbo chini ya kitovu, uchovu na kulegea mwili, kutokwa na ute ute kwenye uke ambao unavutika,chuchu kubadilika rangi na kuwa nyeusi, kutojisikia hamu ya kula.

Naomba kujuzwa zaidi viashiria vya dalili hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kipimo kinauzwa buku tu, kanunue umpime upate uhakika ila hiyo ni mimba tayari
 
Mara nyingine huwa nia anakaribia kuingia bleed.. dalili zake hufanana na hizo.

Ila kwa uhakika kapime.. mzeya. Kitu ninacho kushauri kwa sasa prepare kuwa baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo dalili ni mpya kwenye maisha ya huyo mpenzio?


[emoji252] [emoji479]
 
Back
Top Bottom