habarini wanajamvi
nisiende mbali sana,swala ni hili:
Huwa nasikia watu wengi wanadai wanachafua mashuka kwa kuota ndoto nyevu usiku,na wengine huenda mbali nakudai hua wanavunja madafu adi mala 2,3 kupitia ndoto pekeake
Lakini kwangu mimi ni tofauti,tangu nizaliwe japo hua naota nafanya sex lakini sijawai kufika orgasm via ndoto,ni kupitia normal sex only,ila ndoto sijawai.......Sina tatizo labda la sexual libido no,maana kuna wakat huwa nasex hadi wiki mfululizo na nikikaa wiki 2 bila sex mambo hayaendi sawa,
Lakini pamoja na vurugu zangu zote lakini sijawai kuchafua mashuka kupitia ndoto
kwa wataalamu,je hii inaweza kua tatizo?
nawasilisha