Msigwa amejibiwa effectively na immediately kuwa NO REFORMS NO ELECTION , kwisha habari yakeNimemsikiliza Msigwa akiwa Udom akiwaambia wanachuo kuwa rais ameagiza kuwapelekea wanafunzi wa vyuo vikuu burudani kwa kuwa wanasoma sana.
Nimejiuliza, hivi hili nalo rais kaagiza? Burudani wakati ambao wanafunzi wako bizee na kuandaa UE?
Anaagiza burudani wakati kuna vilio vya haki kila Kona?
Anaagiza burudani wakati kuna vilio vya watu kutekwa na kupotezwa?
Anaagiza burudani, wakati kuna vilio vya tume huru ya Uchaguzi?
Anapati wapi ujasiri wa kuagiza burudani kipindi kigumu hiki?
Rais hana nguvu kubwa kuliko wananchi….Never Dunia nzima.KUNA MAHOJIANO FURANI RIDHIWANI KIKWETE ALISEMA KUNA SIKU ALIMUULIZA BABA YAKE BABA MBONA UNASEMWA SANA NK UPO KIMYA TU
MZEE JK AKAMJIBU MWANANGU NGUVU YA RAIS NIKUBWA SANA NIKISEMA NIDEAL NA KILA MTU INCHI HAITAKARIKA
SASA MAMA KIZIMKAZI YEYE AJUI NGUVU YA KITI CHAKE KAMUA KUA MTU WA MIPASHO ACHA WATU WARUKE NAYE