Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,980
- 27,914
TULIJADILI, NA TUANGALIE IMPACT ZAKE. (LINATUHUSU, HALITUHUSU)
°football lover
°Udaku lovers
°trending gossips
Hahaha,Emu iweke kwa Kiswahili mkuu ili tuelewe na sisi.
Mkuu, kama hata hili umeshindwa kujua, sasa wewe unaweza nini?
Hakuna mtu alimpa Magu headache kama Gwajima.
Kweli mwanadamu ni mwepesi wa kusahau mambo!
Bahati nzuri fb, insta, twita na youtube vimejaa ujumbe wake dhidi ya serikali wakati huo.
Wake up!
You still miss the point.
Muda gani tena alionao wa kujiandaa?
Do you copy?
Nakubali kabisa... Hamna CHAWA mwenye akiliView attachment 3355567
TULIJADILI, NA TUANGALIE IMPACT ZAKE. (LINATUHUSU, HALITUHUSU)