Je hili linasababishwa na nini?

Je hili linasababishwa na nini?

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,422
Reaction score
5,594
Unapokuwa na msichana katika mahusiano akionyesha mapenzi yake ya dhati juu yako apo awali,halafu ghafla anaanza kubadili tabia isivyo kawaida.

Kwa wale wenye experience juu ya hali hii, watujulishe chanzo.
 
sidhani kama dushe inaweza kuwa chanzo, huwa huduma inawatoshelezaga but still majanga? MO11
 
Unasubiri hadi uambiwe "SIKUPENDI TENA" ndio ujue umechokwa?
 
Wala siyo kubadilika tabia. Mwanzo wa mapenzi/mahusiano anaishi vile utakavyo wewe ndiyo maana unamuona yupo sawa. Kadri siku zinavyo kwenda anaanza kuishi vile atakavyo yeye ndiyo hapo unadhani kabadilika kumbe siyo.
 
When people tell you've changed,it's bcoz you stopped acting the way they want you to act..kwa hyo mkuu,mtoto bado atakua anakupenda ila tu hafanyi vile ambavyo wewe unataka afanye.
 
Back
Top Bottom