tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Sijui kwa ninyi wenzangu mnalichukuliaje hili. Usiku huu nilikua naangalia kipind kimoja katika hii tv yetu isiyo isha matukio, kipind cha weekend chat. Wakionyesha shughuri mbali mbali za wasanii na kuzikosoa!! Sasa nikakutana na hii hapa.
Katika show flan hv msanii mmoja nahifadhi jina lake ili nami nisiendeleze udhalilishaji alidondoka stejini kwasababu zilizo nje ya uwezo wake alidondoka kwa maradhi ya kifafa.
Sasa hawa watangazaji wameonyesha tukio zima!! Jamaa anavyo gharaghara chini anavyojitafuna, anavyojigongagonga yaan zile staili zote za mgonjwa wa kifafa kama mnavyozifaham.
wameonyesha na kuanza kumponda! Huyu anajijua ni mgonjwa kwann alipanda aliwahi dondoka hata zanzibar na mengine kibao!!
Hoja yangu je ni halali kuonyesha ugonjwa wa mtu hadharan, tena kwa kurudia tukio la nyuma at unamfundisha mwathirika na wengine wenye matatizo kama hayo wasijishughulishe watadondoka kama hvo??
Je mwathirika kama anatzama kipindi hicho na familia yake anajisikiaje?? Je maadili ya uandishi wa habar na tv kwa ujumla yako hvo!? Mie ninavyojua hata kama tv ilikua live mtu akipatwa na tatizo lenye hali kama hiyo, picha hukatwa had aondolewe ndipo mengine huendelea.sasa hili likoje??
Kwa kweli binafs nimejisikia vibaya sana kumwonyesha mwanadam mwenzako maradhi yake hadharan, tena yalio nje ya uwezo wake.
Pls clouds hata kama serikali mmeiweka mifukon, mengine mnaenda mbali sana!! Huko ni kutafutana ubaya katika jamii.
Watanzania tukemee hii tv inakoelekea watakuja waweke matukio ya vyumbani hadharan na kusema huyu kashindwa kazi ya kumridhisha mumewe au mkewe na hakuna atakaye kemea.
Kwa hili la kumdhalilisha huyu msanii tukemee!! Ni kumrudisha nyuma asijishughurishe kisa ni mgonjwa na wagonjwa kama yeye watabweteka.