Ooyooo huu ni mitego ya kibishara ya kuwavuta watalii ili pato la taifa lipandi na dizaini hii ndo wanavo penda sana watalii tena anatoka ulaya sembuse sisi tuko hapa na kamasi inatutoka wala hatuijui iko wapi na sisi kazi yetu na maendeleo ni kumchunguza huyo mmiliki aina gani haya ndo teja sisi waswahil ni kama husuda