Je, hii picha imebeba ujumbe gani?

Je, hii picha imebeba ujumbe gani?

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
Habari zenu wana jukwaa?

Hivi hii picha inaa maana gani? kwa asili huwa najitahidi kufikiri ila kwa hii picha nmeshindwa kuilewa!!

Msaada wenu unahusika zaidi hapa kufumbua!
%E2%80%AA%2B255%20682%20805%20917%E2%80%AC%2020180813_202747.jpg
 
Unayafahamu watu wanaopenda kuishi nje ya maarifa,huwa wanatabia ya kuhisi wao ndiyo chanzo cha maarifa
 
Tumezoea kuona mtu akishika ktabu mkononi, na kutumia ubongo na macho kusoma na kutakafakali.Ukiangalia picha hiyo ni kinyume chake sehemu ya kichwa imeenda mkononi na na kitabu ambacho kilitakiwa kishikwe mkononi, kimeamia kichwani.
hakuna kitu kinachodumu milele, kuna mabadiliko makubwa sana (evolution) yatatokea miaka 500 ijayo.
1. Baadhi ya binadamu watapadilika kuwa samaki,na samaki watabadilika kuwa binadamu.
2. Baadhi yetu tutabadilika na kuwa na kichwa kimoja chenye macho matatu
3. Binadamu watakuwa wanauwezo wa kula mara moja tu kwa mwezi
4. kwenda mwezini itakuwa kama kwenda apo kariakoo kutembea .
 
Mkuu umetisha aise
 
Back
Top Bottom