Je, hii ni sera ya kutunyima kupata habari?

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Hapa natumia Decoder ya startimes wamekata zote imebaki tv1 na tve sasa najiuliza tcra hawayaoni aya pia hadi Tumaini tv ambayo n ya waumini imekatwa je Kardinal Pengo ujaliona hili la Tumaini Tv kukatwa wakati n nguvu za waumini je bwana Yesu tutamtangaza kweli
 
Nadhani wako sahihi kukata haya matangazo..... ni biashara gani wanakuwa wakifanya ambayo wao wanalipa kodi tena hii ya mwendokasi wakati watu hawaongezi salio la king'amuzi kupata channels nyingine kwa kuwa channel za kibongo hati ziliruhusiwa kuonyeshwa bure.
Nunueni DSTV mnalipia huku mnapata vitu vya high Quality

Katu hata mimi nisingefanya biashara ya aina hii ya kuto ahuduma huku nikilipa kodi mwendokasi
 
matangazo
 
Mimi natumiani azam nimeishiwa kifurushi tangu jana, yaani Tbc1 majanga ni chereko kila dakika.

Kuangalia TBCcm heri niangalie channel za wanayama DSTV au Magic Bongo au hata kuanagalia kigodoro katika simu, mkurugenzi wake Bwana Lyoba ni kama anafanya kazi ya siri kuiuha kabisa hii TV
 
Nadhani wako sahihi kukata haya matangazo..... ni biashara gani wanakuwa wakifanya ambayo wao wanalipa kodi tena hii ya mwendokasi wakati watu hawaongezi salio la king'amuzi kupata channels nyingine kwa kuwa channel za kibongo hati ziliruhusiwa kuonyeshwa bure.
Nunueni DSTV mnalipia huku mnapata vitu vya high Quality

Katu hata mimi nisingefanya biashara ya aina hii ya kuto ahuduma huku nikilipa kodi mwendokasi
Nshomile
 
Kuangalia TBCcm heri niangalie channel za wanayama DSTV au Magic Bongo au hata kuanagalia kigodoro katika simu, mkurugenzi wake Bwana Lyoba ni kama anafanya kazi ya siri kuiuha kabisa hii TV
Tbc imekufa kabisa, jamaa mmoja aliwahi kusema hata kama bwana yesu ikitokea ana kipindi maalum tbc yeye kamwe hawezi kuangalia.
 
Back
Top Bottom