rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Too bad she travels alot and i do the same, na hapo fixing dates inakua issue, if you say tuongeze siku inamaana niue sunday ambayo lazima nikwende kutimiza sabato, it is a problem..sina nia ya kuachana nae, nahitaji njia sahihi ya kutatua tatizo,Talk to her mwambie concern yako,na jitahidini kufix dates au jinsi ya kua closer
Too bad she travels alot and i do the same, na hapo fixing dates inakua issue, if you say tuongeze siku inamaana niue sunday ambayo lazima nikwende kutimiza sabato, it is a problem..sina nia ya kuachana nae, nahitaji njia sahihi ya kutatua tatizo,
Eh poleni sna inabidi mtafute njia ya kusolve hilo tofauti na hapo ninachoona ni nyie kuendelea hivo baada ya ndoa af kuna mtu ataishia kucheat (hasa we unayehisi kumiss kubembelezwa).Too bad she travels alot and i do the same, na hapo fixing dates inakua issue, if you say tuongeze siku inamaana niue sunday ambayo lazima nikwende kutimiza sabato, it is a problem..sina nia ya kuachana nae, nahitaji njia sahihi ya kutatua tatizo,
Talk to her mwambie concern yako,na jitahidini kufix dates au jinsi ya kua closer
No one is busy in this world, it's just a matter of priorities.
Just thinking loud.....:beer::beer::beer:
Ingawa tuna plans za marriage, lakini tatizo and i am worried about this ni kua, we are very busy and we barely communicate through the day, we only talk or text each other for only 15 mins na hiyo ni saa 4 usiku tu, ila all the day kila mtu na hamsini zake, on the weekends labda we meet jumamosi tu, kila mtu na hamsini zake, kuna wakati really na miss ile soft part of a woman in her, maana wote ni watu wa kazi i mean kila mtu anapigana haswa..sasa nafikia mahali nawazia hii ndoa itakua ya namna gani kama mwanamke niliye naye kama dume tu kwenye utafutaji...ingawa tunapendana na tuna future plans..really nahitaji kupata ile nafsi ya pili ya mwanamke laini na mbembelezaji sio 24/7 ni kua serious tu...what should i do...

I shall consider that,Nenda naye church hiyo sunday, then mkitoka mwende beach au sehemu yoyote tulivu mpunge upepo. Jioni muende dinner sehemu au kwako na mwisho muangalie movie pamoja. Week days continue to be busy as bees.
Nia ni kupata ushauri wa kirafiki na si kutegemea mawazo yetu pekee, penye wengi hapaharibiki neno, hivyo tu mkuu nashukuru kwa mchango wakoYou should be telling her this, not us
Nafikiri itakua hivyo maana anazungumzia watoto tu mara nyingi, so i hope atarudi kwenye origin yake ya kua mwanamke kamili na si dume kama sasa..Ukisha muoa, atakukabidhi majukumu yako ya kutafuta na yeye atajikuta anajikita zaidi kwenye majukumu yake aliyopewa na MUNGU kama mke.
Kwa sasa hivi mwache aendelee kutafuta, maana marriage plans mlizonazo bado ni za kusadikika chochote kinaweza kutokea halafu akakosa vyote.
Mkuu unaweza kuwa sahihi kwa wakati fulani lakini unaweza pia kutokua sahihi kwa nyakati fulani, but nashukuru kwa mchango wako, jambo kubwa ni kupata suluhisho maana mkuu, as a man, unakua very tired na unahitaji attention flani ili walau u cool off na kuanza siku tena ukiwa na nguvu lakini unakosa hizo huduma adimu..No one is busy in this world, it's just a matter of priorities.
Just thinking loud.....:beer::beer::beer:
Tafuta asiye na kazi utamkuta home masaa 2000!
Tatizo lenu vijana mnapenda vy kunyonga, wenzio wamsomeshe afu we uje ubwedelee tu!
Na ukizubaa tu atasafiri kikazi Arusha wiki tatu!
Nakuapia jiandae zamu ya kunyonyesha.