Tuko sita. Wote kidole cha nne ni kirefu kuliko cha pili, wawili kati yetu tushaamua kesi zao kibao za kuwabonda wake zao. Infact mmoja wao huyu aliye naye ni mke wa tatu. Wengine wawili walikimbia kipondo.
na pia wana-michepuko mingi, wanajua kuwachenga njia kuu wasijue,hata wafanye ushenzi vipi hawezi kusahau kuhudumia familia.. ni hayo tu kuhusu mwanaume mwenye cha pili na cha nne vinavyo lingana.