Je hii ni kweli kuhusu wanaume waliooa?

Je hii ni kweli kuhusu wanaume waliooa?

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018

Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili.

Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na wanasayansi katika chuo kikuu cha McGill University nchini Canada.

10991381_940975045921161_3618729569233320318_n.png


cc: MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
Amefanya utafiti kwa watu wangapi mpk acomment hivyo???
 
Ninaona watu wanavyoangaika na rula na vipimio vingine vya urefu....!
 
Hata mm nimefanya tafiti watu wenye roho mbaya kuliko wote duniani wanapatikana tanzania wanauwezo wa kuua albino kwa kuwakata viungo kwa mapanga.
 
Wanasayansi Watavumbua Had Type Za Mvz, Kila Kitu Wao
 
na pia wana-michepuko mingi, wanajua kuwachenga njia kuu wasijue,hata wafanye ushenzi vipi hawezi kusahau kuhudumia familia.. ni hayo tu kuhusu mwanaume mwenye cha pili na cha nne vinavyo lingana.
 
Watafiti nao kuna wakati huwa wanadanganya sana
 
Back
Top Bottom