Je, hii ni Fair Mohammed Hussein anakula zake 'Bata' Dubai akina Mayele na Morisson tunapishana nao Vibanda vya 'Mishikaki' Kariakoo Dar es Salaam

Mtoa post unawaza kama Bata. Nisamehe tu. Nashindwa nikusaidiaje. Kwako wewe dalili ya mtu kufanikiwa ni kwenda dubai? Fikicha akiki.
 
Mchezaji wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala hakika anajua sana 'Kuwakoga' Wachezaji wa Yanga SC akina Mayele na Morisson.

Yaani Mwenzao yuko Mapumzikoni nchini Dubai ( UAE )
Mohammed Hussein Tshabalala anahujumu "Visit Tanzania" na anahujumu "Royal Tour" ya Mama yetu Samia. Hii haikubaliki, Hata kidogo!

Morrison na Mayele wanafanya jambo kubwa kwa Tanzania. Wanaitetea Visit Tanzania na Royal Tour yetu. Wapongezwe kwa nguvu zote.
===
Mleta mada amemchoma Tshabalala, hili nalo halikubaliki!
 
Mchezaji wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala hakika anajua sana 'Kuwakoga' Wachezaji wa Yanga SC akina Mayele na Morisson.

Yaani Mwenzao yuko Mapumzikoni nchini Dubai ( UAE ) na Mkewe na Mtoto wao lakini Wenzake akina Fiston Mayele na Bernard Morrison wa Yanga SC tunapishana nao Kariakoo na Tandale Vibanda vya 'Mishikaki' tena Wakiigombea na hata Kuikota chini ile ambayo huwaponyoka Midomoni mwao?

Je, hii ni Haki?
Kumbuka hata manara alienda kula Bata huko huko alikoenda mchezaji wako pendwa

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mchezaji wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala hakika anajua sana 'Kuwakoga' Wachezaji wa Yanga SC akina Mayele na Morisson.

Yaani Mwenzao yuko Mapumzikoni nchini Dubai ( UAE ) na Mkewe na Mtoto wao lakini Wenzake akina Fiston Mayele na Bernard Morrison wa Yanga SC tunapishana nao Kariakoo na Tandale Vibanda vya 'Mishikaki' tena Wakiigombea na hata Kuikota chini ile ambayo huwaponyoka Midomoni mwao?

Je, hii ni Haki?
Kama hilo ni kweli,

Basi aibu nineona Mimi huku.
 
Mchezaji wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala hakika anajua sana 'Kuwakoga' Wachezaji wa Yanga SC akina Mayele na Morisson.

Yaani Mwenzao yuko Mapumzikoni nchini Dubai ( UAE ) na Mkewe na Mtoto wao lakini Wenzake akina Fiston Mayele na Bernard Morrison wa Yanga SC tunapishana nao Kariakoo na Tandale Vibanda vya 'Mishikaki' tena Wakiigombea na
Siyo fair zaidi wa wachezaji wenzake wa Simba ambao wamebaki humohumo wanamoonekana hao wa Yanga.
 
Msifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini?

Kipindi chanyuma kunamchezaji Anaitwa Tomas Karume aliwahi kuiaibisha klabu ya Simba kule gest Morogoro.

Mambo yalianza taratibu kama hivi.
Sasa Yanga huko ndo wanabakuana hadi wakaamua kuvujisha ,kisa kugombania bwana, mchezaji na kiongozi.
 
Msifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini?

Kipindi chanyuma kunamchezaji Anaitwa Tomas Karume aliwahi kuiaibisha klabu ya Simba kule gest Morogoro.

Mambo yalianza taratibu kama hivi.
Tudondoshee mkasa kamili mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom