Kuna hii kampuni inajiita adsblog unatumia link unajiunga lakn Kuna fee 14,500. Kazi Yako ni kufundisha wageni kiswahili online. Kuna aliyewahi kusikia kuhusu hl au utapeli?

Itapendeza tukipata ushuhuda kutoka kwako, tupia hilo dau usikilizie milio. Ila kwa mujibu wa takwimu za Interpol, Kenya ndiyo nchi ya pili barani Africa kwa wizi wa mtandaoni.
Ni majirani zetu waliochangamka.